Mume kamkuta mkewe na love bites kwe makalio yake, ushauri unaitajika kulinda ndoa

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF,
Mimi ni mgeni huku MMU uwa napita tu siku moja moja!

Leo nimepata nafasi na mimi kuchangia huku, kuna jamaa yangu tunafanya nae kazi ni mtu wangu wa karibu sana kapatwa na mtihani.

Kaniomba ushauri kuhusu huyo mtihani wake kutoka kwa mke wake, wakati wanajiandaa kwenda kazini asubuhi wakati mke wake anavaa nguo.
Kumuangalia sehema za makalio yake ya mke wake kaona kuna Hickey, kiss mark or love bites, sehemu zote mbili za makalio.
Kumuuliza nini hicho? Mke wake anajibu hamna kitu labda nimekaa kwenye kitu kigumu ndio kimeacha hizo love bites.
Wakuu kwa kweli nikashindwa kutoa ushauri naombeni michango yenu tumsaidie jamaa yangu.
Nawakilisha
 
hahahahaa love bite hadi kwenye makalio! Mwambie avumilie,nae aanze kuyatumia ayanyonye nk kama anavyofanya mwenzie meanwhile amchunguze akipata evidence ampige biti. Ndo ndoa jamamiii
 
Wana miaka mitatu toka wafunge ndoa!
Lakini bado hawajapata mtoto
Mpe pole yake! Yeye anaiheshimu, Wenzie wanakula ndogo salaleeeeeee! Wacha akili yangu niielekeze Igunga nianze kupambana na waajiri wangu maana wamenipa tenda chafu sana hapa!

Niunganishie bwana na mie nimpata huyo mke wa ndugu yetu! Kizuri kula na nduguyo ila chunga usiliwe tehetehetehe!
 
duh aisee ndoa kibongo ni mzigo,jamaa mwingine nimesoma mahali katoka marekani kuja fumania na kweli kamkuta mkewe analiwa ndogo na jamaa tena kitandani kwake na kitanda walipewa zawadi walipofunga ndoa na mkewe
 
Kuna mjanaj ashakula apo zilipo bandikwa amuhoji vizuri,hizi ndo zinaelekea kuzimu eheeeeee
 
Ninamsifu huyo mwizi kwa kazi nzuri.
It should be a wake up call for the husband.
OTIS.
 
Hahahaha! this thread has made my day kwa kweli....hahahahahaha! no comment kwa kweli.
 
Ndugu zangu wana JF.
Hii kitu sio ya kucheka inaweza kumtokea mtu yoyote tumsaidie mwenzetu kuokoa ndoa yake!
Ushahidi unaonyesha kanyonywa tena sehemu kubwa jamaa alivyoniambia, mke wake ana rangi Love bites zinaonekana wazi, kingine mke wake akujua kama kwenye makalio yake pamenyonya asingevaa nguo mbele ya mume wake
 
Ndugu zangu wana JF.
Hii kitu sio ya kucheka inaweza kumtokea mtu yoyote tumsaidie mwenzetu kuokoa ndoa yake!
Ushahidi unaonyesha kanyonywa tena sehemu kubwa jamaa alivyoniambia, mke wake ana rangi Love bites zinaonekana wazi, kingine mke wake akujua kama kwenye makalio yake pamenyonya asingevaa nguo mbele ya mume wake
Dah mpe pole jamaa,na ili kuokoa ndoa mwambie inawezekana ni dokta alimnyonya huko au sijui umwambieje maana inatia machungu sana
 
duh aisee ndoa kibongo ni mzigo,jamaa mwingine nimesoma mahali katoka marekani kuja fumania na kweli kamkuta mkewe analiwa ndogo na jamaa tena kitandani kwake na kitanda walipewa zawadi walipofunga ndoa na mkewe
Kusema ukweli hali inasikitisha. Ninawaz kwa sauti ni bora wanawake tukubaliane na ukweli kuwa mambo ya kucheat tuwaachie wanaume!! turudi kwenye uanamke wetu wa enzi hizo, tuzivae aibu na maadili yetu ya kale, tuache maswala ya kucheat ni kawaida mradi tu usishikwe; tuache masuala ya mbona yeye anafanya e.t.c.

Kufumaniwa kwa mwanaume si sawa na kufumaniwa kwa mwanamke. Mwanamke tunabakia na doa milele ilhali mwanaume akifumaniwa atapewa sira na kesho yake linasahaulika na kuheshmiwa kama kidume!! Kulikuwa na topic ya Are we fighting the Lost Battle? kuna mengi ya kujifunza kule.

Hata sijui nimshaurije mfikwa hapa lakini nina moja tu la kusema kwa mkewe: Wifi kama kweli umetenda...............Shame on you!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom