Mume kamkuta mkewe na love bites kwe makalio yake, ushauri unaitajika kulinda ndoa

Unajua MwanajamiiOne kitu kinachoponza katika Ndoa ni Mawasiliano! wanawake wengi huwa wanasimuliana juu ya Sarakasi walizowahi kukutana nazo sasa unakuta Mwanamama badala ya Kumweleza Mme wake juu ya nini anatamani anaishia kwenda kupractice Nje. Vivyo hivyo kwa Wananume huwa tunakuwa so Polite katika Lile Tendo. Kuna kaka yangu alinifundisha kwamba "You have to act like an Animal and be a little bit aggressive when perfoming that THING, That is what most women like" Sijui kama alikuwa sahihi ila ukiangalia hapa Inawezekana kabisa jamaa huwa anamtreat Mke wake kama dada yake. Haya ni Mawazo yangu yaweza kuwa si sahihi
Haswaa Albedo umenena. Na hata kama anaona anashindwa 'kusema' basi atende!! Ukifika wakati asisubiri kuomba achacharike tu! Kama anatamani kugeuka farasi, asiombe ruhusa yeye ageuke farasi kisha atoe ishara tu, kwa Mr.aone kama ataambiwa 'we tulia!'
 
mie sina mzuk na meno sehemu hizo busu tu zinatosha hahahaha leo mpaka mtu atatoka na nyama ya mtu, maana nahisi leo watabusiwa watu mpaka wakome
 
Hahhhh Shantel bwana....wakumbushe pia kuwa kisima kilomfaa kukua, chaweza kisimfae mwewe! Lol hukawii kuitwa mchawi watimiza masharti ya mganga!!
 
Hahhhh Shantel bwana....wakumbushe pia kuwa kisima kilomfaa kukua, chaweza kisimfae mwewe! Lol hukawii kuitwa mchawi watimiza masharti ya mganga!!
Kweli mwenzangu, iagine asiyejua kutoa hizo lovebite ang'ang'anie kota la mtu mpaka litoe alama
 
Jamaa yangu kapata mtihani sana! Kitu ambacho nimejifunza kutokuleta ulokole kwenye mambo ya mapenz!
Nakumbuka maneno ya mjomba wangu ni mkubwa kiumri ana miaka kama 63 ananimbia mjomba wangu hawa wanawake kwenye mapenzi hapana kuwahurumia hata kidogo, unaona mimi mpaka leo hii shangazi yako nampa fujo zote siachi kitu tu.

Ndio maana unaona mpaka leo ananiheshimu kupita kiasi na ndio wanavyopenda hawa wanawake.
Hakuna kuleta ulokole hata siku moja, haya maneno niliyakumbuka sana na nayafanyia kazi
 
kuna kitu wanaume inabidi tujifunze jamani...

wake zetu sio mali zetu kama magari au mbuzi au ngo'mbe....

wao ni binaadamu wenye maamuzi yao hata kama sio mazuri au sahihi....


sasa usiseme umedhalilishwa kwa mkeo kupigwa lovebite za makalio....as if alilazimishwa....

kajidhalilisha mwenyewe.wewe hapo chukua uamuzi tu unao ona unafaaa.....

na hata ukiamua kusamehe..samehe tu,usione ni aibu yako....binadamu wazito....lol


Yawezekana mkewe hatosheki! ikabidi akatafute kwingine, kwa hiyo jamaa pia inabidi ajiulize je anatosheleza!
 
Hilo Nalo Neno

Albedo,
Hizi ndoa zetu zina siri kubwa sana, umeishi na mwanamke miaka sita mke wako anakuambia mume wangu tumeishi miaka yote hiyo mbona ujionyeshagi mapenzi jamani.
Sasa unajiuliza mapenzi gani huyo mwanamke sijamuonyesha kama gari nimemnunulia, pesa nampa, nyumba tunayo nzuri huyu mwanamke atakuwa na matatizo unakaa kimya
 
Yawezekana mkewe hatosheki! ikabidi akatafute kwingine, kwa hiyo jamaa pia inabidi ajiulize je anatosheleza!

Alishamwambia Kama Hatosheki? Kama Aliona kwamba hatosheki na akaamua kuchukua uamuzi huo kwa nini Alirudi kwa Mumewe? si Angebaki hukohuko alikotosheka! Mawasiliano ni Mazuri jamani kama unaona huridhiki ni Vizuri ukamwambia Mwenzako kwamba Leo hukunikuna vyema. Hakuna Mtu ambaye anapenda kumwacha Mwenzake, Kila Mwanaume anajisikia vizuri sana anapomfikisha Mwanamke. Na si kumwambia Mwenzako pale unapokuwa hujafika vilevile ni Vizuri ukimwambia hata Pale anapokufikisha na Kumpongeza vilevile hii inamfanya Mwanamme amfahamu vizuri Mke wake ni nini kinahitajika ili Afike.

So Ni Muhimu kutoa Feedback in both situations wakati AMEKUFIKISHA ili Ajue AMEFANYA NINI KUKUFIKISHA na wakati HAJAKUFIKISHA ili Ajue nini Anapswa kuboresha.

Kumegana lengo lake ni wote Mfurahie na ili Mfikie Lengo Hilo Basi ni Sharti Msaidiane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom