Mume asie tosheka na shoga asie fadhila.

khaaa vitu vingine vinatia hasira mpaka basi, embu mwambie aripoti polisi, rafiki gani asokuwa na haya hana nduguze/ keshaliwa tayari pole sana wewe na mdogo wako, na yeye yuko wapi muda wote anaacha family yake?

yuko Oman kaja kuona family,nimemuonea huruma halafu nikacheka peke yangu chumbani,anasema Labda sio mie kama sijampata mumewangu basi na yeye pia hatoishi nae labda niwe nimemuiba madhali ni mumewangu atakijua kilichomtoa Kanga manyoya,basi nimekuja kuchekea chumbani kwangu.yani kaoza hata kusema mpoleeee..
 
Back
Top Bottom