Mume ashuhudia mkewe akichepuka

Ngoja niendelee na Mambo yangu!
20211213_064604.jpg
 

Attachments

  • 20211216_175159.jpg
    20211216_175159.jpg
    86.5 KB · Views: 2
hawasemi uongo, michepuko ina style nyingi ambazo wife, hawezi hata nusu ya safari za uvinza, Shetani akileta mitindo hiyo ni lazima umwite wife malaya maana ataeleza kaziona wapi km ni mitandaoni basi alijaribu na nani
haya mavitu tuyaache tu, hata Daud (2 Samuel 11:2) alipoona mdada Bethsheda akioga na mgongo upo wazi alituma mumewe (Uria Mhiti) apelekwe mbele vitani auawe ali afaidi na bado huyo Mama alikuja mzaa Sulemani (2 Samweli 12:24) ambaye alioa wanawake kibao na michepuko iliyotambulika rasmi 700
Hapo sijui Shetani hakuwepo?

View attachment 2046043
Hili andiko linaniachaga hoi sana mkuu
 
Wakuu habari?

Leo nimeingia mkoa ambao mchepuko wangu anaishi, ingawa anaishi umbali kama wa km 15 hivi kutoka hapa nilipo. Baada ya kufika nyumba ya wageni nilimjulisha ili aweze kufika kwa ajili ya kunipa kampani, Baada ya muda aliweza kufika, na tukaanza kuzungumza ingawa alikuwa na mawazo mengi.

Kwa kuwa yeye ni mke wa mtu, hata nilipokuwa nachepuka naye nilikuwa makini sana, huku nikimpa heshima zote mumewe; kwa sababu kama angefukuzwa na mumewe hakuna sehemu ambayo ningeweza kumpeleka. Baada ya kufika, alionekana na mawazo mengi sana, akaniambia kuna kitu anataka aniambie ila anashindwa aanzie wapi! Mi nikampa uhuru pamoja na kumuondolea hofu,ndipo akaanza kunisimulia.

Ilikuwa hivi, anasema ''mume wangu yuko safari, na jana mida ya saa nne usiku nilichepuka na mfanyabiashara y , wakati tupo kwenye tendo la ndoa, mr. alipiga simu na simu ilikuwa chini ya mto, kutokana na kupagawa na penzi nikajikuta simu imejipokea... na mr. akawa anasikiliza kwa njia ya simu mshindo unavyopelekwa, mbaya zaidi alikuwa anamtaja mr. wake hajawahi kumpelekea moto, kama jamaa anavyompelekea.''

Mumewe akakata simu na kumtumia meseji nzito ya kumtukana; na hiyo meseji ya mumewe akanionyesha, kweli roho iliniuma sana, kwa nini achepuke kwa watu wawili; nilitamani nimzabe vibao, lakini baada ya kutafakari nikajiona nami ni mwizi pia. Ila akasema, ameona aniambie ukweli na yuko tayari kwa lolote. Na hapa alipo, amekimbia kwake anaishi kwa rafiki yake mmoja tangu ile jana usiku, kuhofia mumewe asije akatumia gunia la mkaa kumuangamiza.

Kwa hasira niliyokuwa nayo, ilibidi nipige shoo ingawa haikwenda kwa ufanisi unaotakiwa kutokana na msongo wa mawazo; baada ya hapo nikampa ushauri; 'umetuingiza kwenye vita na mumeo, kwa hiyo naomba nikae pembeni ili niepushe msongamano, na ikiwezekana tumia njia zote unazojua, uombe msamaha kwa mumeo, maisha yaendelee'. Mbaya zaidi jamaa aliyekuwa naye jana, amemwambia achague mkoa wowote akaishi na atamgaramia kwa shughuli yoyote ya kibiashara.

Kwa kifupi, nimeamua kupiga chini, ingawa bado hajanijibu kama ameridhia.

Kama ungekuwa ni wewe, kwa hali hiyo ungechukua maamuzi yapi?
Ningemchapishia tisheti mgongoni imeandikwa..."BURUDANI KWA WOTE"...!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom