Mume anapotaja jina la mwengine kitandani

promiseme

JF-Expert Member
Mar 15, 2010
2,707
930
Habari za Hasubuhi waungwana,
Naa swali linanichokoa roho,ivi pale unapokua na mumeo mko kwenyeuwanja wa mahaba halafu mwenzio
baada ya kukuita kwamfano Fatma anakuita fayka inamaana ndio mtu wake wewe boya tuu hapo au mpaka
amfikirie huyo ndio bao upewe au inakuwaje? au pale anapo kuita akajitia kasahau anaita jina hilo au jengine inakua
keshakuchoka au?
 
huyo kakuchoka...anakugegeda kwa sababu ni wajibu lakini hisia zipo kwa dem mwengine....chakufanta ni kumnyima maana anakuchafua tuu hapo
 
Bora kumbana akwambie huyo ni nani na kwanini anautawala ubongo wake kabla ya kutoa hukumu ingawa ushahidi wa kimazingira uko wazi kuwa kuna kidudu mtu keshaingia. Majibu yake na ukweli wake hata kama ni mchungu kiasi gani ndivyo vitakavyokupa la kufanya kuamua kusamehe kusuka au kunyoa.
 
Hiyo ni dharau, hawezi leta masihara kwenye tendo la baraka na kuchafua mazingira. Mkabe akuelezee wazi kwanini anakuteda.
 
Mawazo yapo kwa the second....
Mwenyewe ishantokea nkamtaja nanii, nlikuwa mdogo siku hiyo na aibu juu.
 
Hiyo ni dharau, hawezi leta masihara kwenye tendo la baraka na kuchafua mazingira. Mkabe akuelezee wazi kwanini anakuteda.
yani haielekei kabisa eti hakumbuki kama kasema hilojina.
 
Uiiiiiiiiw naeza nimng'ate hiyo ni dharau iliyopitiliza ni dalili ya kuchokwa pia...'Vunja ukimya muulize why?
 
Mawazo yapo kwa the second....
Mwenyewe ishantokea nkamtaja nanii, nlikuwa mdogo siku hiyo na aibu juu.
Na chaajabu uso wake ulikua mdogo hata hajafanya kama anavyofanya sikuzote manake nilitulia kama gogo nikamtizama usoni jioni katoka kaenda kununua zawadi ananiletea yaniii..
 
kama kuna kitu chenye ncha kali kitamhusu
Sikumuacha nilimuliza jawabu lake mke wangu mie wallahi hata sikumbuki kama nimesema hayo na kama nimesema basi
ilikua raha nisamehe,juu yakua kasema lakini still roho inaniuma..
 
yani haielekei kabisa eti hakumbuki kama kasema hilojina.

kama haelewi sikumoja akiaanza nawewe anza kusema jina la kibabu kizee kabisa cha mtaan yee akisema ana, ana, ana we sema

jina la kale kababu mjunii, mjunii eee, huuu my dear mjun. utasikia anakuuliza na akiuliza mpe laivu kwanini anakutenda na

kujifanya hajui. (taja jina la kitoto kidogo kabisa au babu ambaye ni kwiswiney vinginevo utavunja ndoa akiamini kuingiliwa)
 
Uiiiiiiiiw naeza nimng'ate hiyo ni dharau iliyopitiliza ni dalili ya kuchokwa pia...'Vunja ukimya muulize why?
Nimemuliza anasema hakumbuki kusema haya lakini ndani ya nafsi yake inamchokoa sababu unamuhisi kuna kitu kinamsumbua akili yake anawasiwasi kama anafuga nyoka..
 
Nimemuliza anasema hakumbuki kusema haya lakini ndani ya nafsi yake inamchokoa sababu unamuhisi kuna kitu kinamsumbua akili yake anawasiwasi kama anafuga nyoka..

Hahahahah anajisahaulisha eeeenh eti akumbuki mweeeeh.....madai vilimkolea ama ni nn?anajibaraguza tu huyo hana lolote jaman..
 
yani haielekei kabisa eti hakumbuki kama kasema hilojina.

na usitegemee hata siku moja kwamba atakwambia anakumbuka kasema hilo jina!hawa wanaume,ni watu wa ajabu sana!ningekuwa mimi wala nisingemuuliza maana najua asingesema ukweli,ila ningemsaka huyo mtajwa nimjue,na kujitahidi kadri niwezavyo kubadilisha uchezaji wangu
 
Hiyo ni dharau, hawezi leta masihara kwenye tendo la baraka na kuchafua mazingira. Mkabe akuelezee wazi kwanini anakuteda.
Jamani kutaja jina la mtu mwingine hajuna maana yoyote mbaya. Unajuwa hiyo kitu ikikolea, unaweza ukatamka lolote ukizingatia damu nyingi inahamia huko kwenye kifanyio na ubongo kubaki na kiasi kidogo sana cha damu cha kusavaivu tu.... Hebu nikuulize, wale wanaotukana mama au baba za zao nao mtasemaje? Wanatoka na wazazi wao? Acheni kumshughurisha mwenzenu negatively.....
 
na usitegemee hata siku moja kwamba atakwambia anakumbuka kasema hilo jina!hawa wanaume,ni watu wa ajabu sana!ningekuwa mimi wala nisingemuuliza maana najua asingesema ukweli,ila ningemsaka huyo mt
ajwa nimjue,na kujitahidi kadri niwezavyo kubadilisha uchezaji wangu
Inawezekana na wewe unatajwa kwingine lakini hujui.... Tukianza kusakana basi kika mtu alipo ajuwe anasakwa... Maana mtu kukutaja wakati wa mechi haina maana kuwa lazima mmebanjuana. Inawezekana uliokoa maisha yake wakati fulani bila wewe kujuwa na hivyo ikakaa kwenye akili yake ya kina
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom