Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Huku Matukio ya matumizi ya ovyo ovyo ya silaha yakishamiri hapa nchini,Mume ajulikanaye kwa jina la Anthony amemuua Mke wake Sauda kwa kutumia Bunduki ya Shotgun kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi kwa kumiminia risasi za kifuani kisha naye kujipiga risasi ya kichwani. imetokea jana nje kidogo ya jiji la Tanga,Kamanda wa kikosi cha polisi Constatine Massawe.amedhibitisha tukio hilo...na upelelezi unaendelea...