Mume amuua Mke na yeye mwenyewe kujimaliza kwa Shotgun (Tanga)

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Huku Matukio ya matumizi ya ovyo ovyo ya silaha yakishamiri hapa nchini,Mume ajulikanaye kwa jina la Anthony amemuua Mke wake Sauda kwa kutumia Bunduki ya Shotgun kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi kwa kumiminia risasi za kifuani kisha naye kujipiga risasi ya kichwani. imetokea jana nje kidogo ya jiji la Tanga,Kamanda wa kikosi cha polisi Constatine Massawe.amedhibitisha tukio hilo...na upelelezi unaendelea...
 
Ukimiliki silaha lazima pia uwe na kifua... Matukio haya yameshamiri kwa sasa... Silaha ununue/Umiliki mwenyewe kisha hiyo hiyo itumike kukumaliza/kumaliza familia yako...
 
Duh Tanga bhana, kuna mwaka fulani hivi jamaa mmoja alikua tajiri sana simkumbuki kwa jina ila na yeye alimuua mkewe na yeye mwenyewe kujimaliza kwa the same style! poleni
 
Kwa namna moja inauma pale unakuta mtu kagaramia kwa garama kubwa alafu bado anatoka nje na hajakosa chochote hapo mtu anashindwa vumilia na kuchukua uamuzi mgumu
 
Kwa namna moja inauma pale unakuta mtu kagaramia kwa garama kubwa alafu bado anatoka nje na hajakosa chochote hapo mtu anashindwa vumilia na kuchukua uamuzi mgumu

Kwani ndoa ni "uwekezaji"? Ni ugonjwa wa AKILI tu huo. Ukimfumania mkeo au hata kuhisi kuwa ana-t@mbw@ nje ya ndoa - achana naye - tafuta mwingine - simple!
 
Kwa namna moja inauma pale unakuta mtu kagaramia kwa garama kubwa alafu bado anatoka nje na hajakosa chochote hapo mtu anashindwa vumilia na kuchukua uamuzi mgumu

chochote ni nini, kula, kuvaa na mengi kama hayo siyo tatizo, shida ni pale tu unapomlaza mkeo chukuchuku kila siku eti mke wangu mimi nimechoka sana, kwanini asitafute msaada huko nje.?????????? Matokeo mnaacha watoto yatima.
 
Bora usimuliwe ----- yaani unakuta live jamaa anapiga viuno kwa mkeo wa ndoa ambaye miaka nenda rudi umemwamini kabisa -- duh.... inauma.
 
Mamndenyi ]Mkuki mtamu kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

Poleni sana kwa familia ilyoathirika. Eee Mungu naomba unusuru familia yangu!
 
Jamani hii si mara ya kwanza kwa mume kumuua Mke kisha yeye kujimaliza... "KWANINI VINYAGO (BUNDUKI) TUVICHONGE WENYEWE...KISHA TUWE WA KWANZA KUVIOGOPA??? (SILAHA ZITUMALIZE WENYEWE...???) Jamaa angemwacha tu huyo Dada... Ona sasa Watoto wanapata shida buuure...
 
Kwa namna moja inauma pale unakuta mtu kagaramia kwa garama kubwa alafu bado anatoka nje na hajakosa chochote hapo mtu anashindwa vumilia na kuchukua uamuzi mgumu
...Sio kweli hawezi kupata kila kitu still akatoka nje. Lazima kuna udhaifu kwa mwanaume ndoa si kumlisha demu makuku tu, sijui nguo nzuri na dhahabu na gari ya kutembelea...lazima suala a msingi lililomfanya atoke kwa wazazi wake aje kwako alipate tena kwa kiwango cha juu. Sasa mijanaume mingine eti liko busy au ndio uchovu unategemea mwanamke atulie? Kuna watu mtaani wanakula maisha kwa kuwa - assist wake za watu ambao waume zao muda wa kuwapa game wake zao hautoshi.....Mwanamke akionja hapo kumbadiisha mawazo si rahisi...
 
Back
Top Bottom