Mume amuua Mke na yeye mwenyewe kujimaliza kwa Shotgun (Tanga) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume amuua Mke na yeye mwenyewe kujimaliza kwa Shotgun (Tanga)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tusker Bariiiidi, Sep 20, 2011.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Huku Matukio ya matumizi ya ovyo ovyo ya silaha yakishamiri hapa nchini,Mume ajulikanaye kwa jina la Anthony amemuua Mke wake Sauda kwa kutumia Bunduki ya Shotgun kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi kwa kumiminia risasi za kifuani kisha naye kujipiga risasi ya kichwani. imetokea jana nje kidogo ya jiji la Tanga,Kamanda wa kikosi cha polisi Constatine Massawe.amedhibitisha tukio hilo...na upelelezi unaendelea...
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  poleni sana wafiwa hizo ndio faida na hasara za mapenzi
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ukimiliki silaha lazima pia uwe na kifua... Matukio haya yameshamiri kwa sasa... Silaha ununue/Umiliki mwenyewe kisha hiyo hiyo itumike kukumaliza/kumaliza familia yako...
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Duh Tanga bhana, kuna mwaka fulani hivi jamaa mmoja alikua tajiri sana simkumbuki kwa jina ila na yeye alimuua mkewe na yeye mwenyewe kujimaliza kwa the same style! poleni
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa namna moja inauma pale unakuta mtu kagaramia kwa garama kubwa alafu bado anatoka nje na hajakosa chochote hapo mtu anashindwa vumilia na kuchukua uamuzi mgumu
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kwani ndoa ni "uwekezaji"? Ni ugonjwa wa AKILI tu huo. Ukimfumania mkeo au hata kuhisi kuwa ana-t@mbw@ nje ya ndoa - achana naye - tafuta mwingine - simple!
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Duh! ana-t@mbw@ Baba-Enock punguza jazba.
   
 8. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhh!! mapenzi noma, pole kwa wafiwa.
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  chochote ni nini, kula, kuvaa na mengi kama hayo siyo tatizo, shida ni pale tu unapomlaza mkeo chukuchuku kila siku eti mke wangu mimi nimechoka sana, kwanini asitafute msaada huko nje.?????????? Matokeo mnaacha watoto yatima.
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Mkuki mtamu kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
   
 11. F

  FUSO JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  Bora usimuliwe ----- yaani unakuta live jamaa anapiga viuno kwa mkeo wa ndoa ambaye miaka nenda rudi umemwamini kabisa -- duh.... inauma.
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  well said mkuu..................mwanamke sio 1 duniani
   
 13. amanindoyella

  amanindoyella Senior Member

  #13
  Sep 20, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mamndenyi ]Mkuki mtamu kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

  Poleni sana kwa familia ilyoathirika. Eee Mungu naomba unusuru familia yangu!
   
 14. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mapenzi na uaminifu ni jambo gumu
   
 15. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Jamani hii si mara ya kwanza kwa mume kumuua Mke kisha yeye kujimaliza... "KWANINI VINYAGO (BUNDUKI) TUVICHONGE WENYEWE...KISHA TUWE WA KWANZA KUVIOGOPA??? (SILAHA ZITUMALIZE WENYEWE...???) Jamaa angemwacha tu huyo Dada... Ona sasa Watoto wanapata shida buuure...
   
 16. j

  jadia Senior Member

  #16
  Sep 20, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mh kazi ipo mpaka kuua!!!! hasira hasara
   
 17. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mwanamke ni mmoja tu, mkeo wa kwanza. Fanya uchunguzi kwa kutembea nao wengiiii;mwisho wa siku utangundua hawana la ziada zaidi ya mkeo.
   
 18. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ndoa is simply mikatabafeki....
   
 19. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Sio kweli hawezi kupata kila kitu still akatoka nje. Lazima kuna udhaifu kwa mwanaume ndoa si kumlisha demu makuku tu, sijui nguo nzuri na dhahabu na gari ya kutembelea...lazima suala a msingi lililomfanya atoke kwa wazazi wake aje kwako alipate tena kwa kiwango cha juu. Sasa mijanaume mingine eti liko busy au ndio uchovu unategemea mwanamke atulie? Kuna watu mtaani wanakula maisha kwa kuwa - assist wake za watu ambao waume zao muda wa kuwapa game wake zao hautoshi.....Mwanamke akionja hapo kumbadiisha mawazo si rahisi...
   
 20. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  poleni wafiwa.............wivu ukizidi balaaaaa
   
Loading...