Mume amshtaki mkewe kwa kumnyima unyumba

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
140528073648_jaji_mahakama_uk_512x288_bbc_nocredit.jpg

"Majaji waliamua kuwa mkewe Mason hakufanya kosa lolote"

Kuna kisa kimeibuka nchini Uingereza ambapo mwanamume mmoja kwa jina David Mason, mwenye umri wa miaka 30, alimshitaki mkewe Brenda kwa kumnyima haki yake ya kingono au kukataa kushiriki tendo la ndoa.

Mwanamke huyo alimfanyia mgao wa wiki moja kila mwezi wa kitendo cha ndoa mumewe kwa hofu ya kushika mimba kwa mara ya tatu. Kwa mujibu wa jarida la mtandao la Mirror, la Uingereza, Bwana Mason, ambaye kazi yake ni fundi mitambo alishinda kesi hiyo mwaka 1980.

Lakini mkewe alikataa rufaa ambapo Mason alipoteza kesi hiyo baada ya majaji kusema kuwa mahakam aisingeweza kuamua kuwa mkewe Mason alimkosea.

Nini maoni yako kuhusu tukio hili?

Chanzo: BBC
10373781_789183721100295_8723284530118335902_n.jpg

Majaji waliamua kuwa mkewe Mason hakufanya kosa lolote.

Kuna kisa kimeibuka nchini Uingereza ambapo mwanamume mmoja kwa jina David Mason, mwenye umri wa miaka 30, alimshitaki mkewe Brenda kwa kumnyima haki yake ya kingono au kukataa kushiriki tendo la ndoa.

Mwanamke huyo alimfanyia mgao wa wiki moja kila mwezi wa kitendo cha ndoa mumewe kwa hofu ya kushika mimba kwa mara ya tatu. Kwa mujibu wa jarida la mtandao la Mirror, la Uingereza, Bwana Mason, ambaye kazi yake ni fundi mitambo alishinda kesi hiyo mwaka 1980.

Lakini mkewe alikataa rufaa ambapo Mason alipoteza kesi hiyo baada ya majaji kusema kuwa mahakama isingeweza kuamua kuwa mkewe Mason alimkosea.

Chanzo BBC

Nini maoni yako kuhusu tukio hili?

Tanzania sheria kama hizo zipo jamani?
 
Kwa hapa Tanzania huenda kesi kama hii isiwe na mashiko zaidi ya kuwafurahisha watu,bado tupo nyuma sana ktk mfumo wa sheria!
 
Kuna kitu kinaitwa conjugal right. Wanasheria kuja kipande hii
 
....sahihisha hapo aisee, kamnyima haki ya kufanya NGONO?
....ukisema hivyo ujue hiyo haki haipo, sema tendo la ndoa kama unamaanisha hivyo
 
Back
Top Bottom