Mume ampa talaka 3 mkewe na kaamua kumsweka ndani

Ghafla nikatafakari mkasa+adhabu nikasema wenzetu mnaraha mnaotoa talaka sisi upande wa pili mkataba unae huyo ukio umeoa mtaishia kununiana tu na kupelekana kwa paroko kwa usuluhishi
 
Ghafla nikatafakari mkasa+adhabu nikasema wenzetu mnaraha mnaotoa talaka sisi upande wa pili mkataba unae huyo ukio umeoa mtaishia kununiana tu na kupelekana kwa paroko kwa usuluhishi
mkuu Mimi my wife nilimuambia furaha yangu ni ya muhimu Kuliko cheti cha ndoa au vitisho vya kidini.
Kama ni dhambi si utatubu aafu unaenda mbinguni??

Nilimwambia Sitapata Shida kumuachia nyumba na kwenda kutafuta amani sehemu nyingine.
Wanawake wengi wanafumbwa na agano LA Pete Kisa limefanyikia kanisani.
Mambo yenyewe yameandaliwa na wanadamu tu haya
 
Back
Top Bottom