Mume Amfurumusha Mkewe kisa Small House, Arudi mikono nyuma!!!!!!!!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
Wakubwa zangu shikaamooni!!!!!!!!!!!

Peopleeeeeeeeeessss!!!!!!!!!!!!

Habari nayoileta hapa inakinzana kabisaaaaaaaaa na siku ya ukimwi duniani ila Habari ni Habari iwe ya Kidaku, Kiumbea, Kimajungu, ama Kipashukuna ni Habari!!!!!!!!!!!

Kwenye viti virefu huko bwana kuna mjadala ulizuka jana juu ya Bi dada mmoja, Muke ya Mtz mmoja hivi, aliolewa na Kijana mwenzie! Sasa baada ya Muda Mwanaume akapata small house akaanza kumnyanyasa mwenzie! Mara we mwanamke gani, sijui nilikupendea nini, mbayaaaaa! Itakuwa uliniloga si bure, usiongozane na mimi wewe si hadhi yangu! Manyanyaso hata enzi za utumwa zina nafuuu!

Watu wakmsihi vumilia bi dada ndoa ndoano! Yatapita, hapo kazi huna utaenda wapi? Wakaweka vikao na vikao, Mwanaume kakomaaa mi simtaki huyu mwanamke mbayaaaa! Nimepata katoto kasupu, kichuna cha haja!, hili zee linanipotezea muda! Halali ndani, hamsemeshi, akimsemesha kashfa juu ya kashfa! Hapo miaka 3 ya ndoa! Kavumilia wee dada wa watu.

Siku moja akaamka akwaza mimi ndo kwanza im 25, hivi naupungufu gani mwilini kukaa humu ndani kama mtumwa wa mtu!? Kwani bila ndoa hamna maisha? Akafungasha vitu vyake vyote akaketi kumngojea Nyampara aje kumnyanyasa kama kawaida yake, Mwanaume kutinga akamwambia "Bwana mimi ndo naenda hivi, nakoenda sijui, ila nimesikia malalamiko yako, na miaka 3 ulionipotezea sio ishu, hicho kigari chako wala sitaki tugawane baki nacho, nigee talaka yangu tu nikagange maisha mbele ya safari! Mi fighter" Mwanaume kagoma kutoa talaka! Bi dada kajitwisha begi kichwani usiku wa saa 2, NDOA NDO IMESHA HIVOOO!

Siku mbili tatu kazoea ukweli kuwa sasa yuko mwenyewe, Miaka ikapita Mungu si Lara 1, akapata Buzi la hajaaa! Likamjengea nyumba huko mbezi beach! Usafiri nini, si yule muke ya Mtz tena! Mambo supaaaaaa! Toto limekuwa toto! Juzi juzi kahamia kwenye kigorofa chake mbezi huko. Ashasahau yooote, moyo mweupeee!

Hamad! Ugeni ukamjia ndani ya kigorofa chake!!!!!! Mumewe na wakwe zake wamekuja kusuluhisha!!!!!! Mume kaomba msamaha wewee, mpaka huruma! Baada ya kubembeleza siku kibao, bi dada karudisha moyo nyuma! Ila akamwambia " Mimi niko tayari tuanze upya sasa wewe nenda Kapange nyumba Sinza au Mwenge mimi nitakuja kuhamia, tujaribu kuishi wote tena! Hili jumba pamoja na kukusamehe huusiki nalo hata chembeee!!!!!! Nikija huko kwako hapa napangisha najipatia kodi! Ukishapata hiyo nyumba ya kupanga niambie nije" Kaka ndo hatujui ataamuaje!

Safi sanaaaaa bi dada! Pata Amarula na Sminorf ujipooze na kujipongeza kwa ushindi!!!!!!! Ingekuwa mtu mwengine Basi yameisha njoo tu uhamie hapa takaage! Thubutuuuuu!
 
Chum Chang

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
999
0
Stor za kwenye viti virefu nyingi zinakuwa ndefu kuliko mdomo wa mbuzi............
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
hivi shosti lara 1 hizi story za small house wazitoa wapi siku hizi??? unafanya marriage councelling nn....sikusomi kabisa ....
 
Last edited by a moderator:

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
hao wakwe walikuwa wapi siku zote? Mtu utakulaje matapishi bwana?

Wakwe walikuwepo sasa mtu si aligoma hataki bwanaaa sasa wangemuoa wao binti wa watu? Wakaaa zao kando, alivotia akili ndo ikabidi kumsaidia, manake mtoto akinyea kiganja hukikati, unakioshaaaa!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
hivi shosti lara 1 hizi story za small house wazitoa wapi siku hizi??? unafanya marriage councelling nn....sikusomi kabisa ....

Company yoteeee imeolewa au imejipasishia kwa wanaume, Senior bachelor nimebaki peke yangu Kubwa la Maadui ndo bado sina mpango wa kuzaa, kuolewa wala kuhamia! Sasa stori zote ni kuhusu My Hubby, His Hubby, Mume wa flani, Mtoto, Mama Mkwe, Wifi, Mwanzo mwishooooo! They are getting on my Nerves!!!!! Asister cant even enjoy a drink in peace! Stori za mapochi na viatu siku hizi hazina nafasi tenaa!

Either NAZEEKA SASA au nahitaji kuchange company!!!!!! LOL!
 
Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,451
1,170
Ciello unauliza anazitoa wapi wakati ameshakuambia kuwa ni za kutoka kwenye viti virefu?! Huyu shost wako ni mwisho wa reli. Haya, hilo alilolifanya hata mimi pamoja na udume wangu namsapoti mwanamke, usije ukakuta jamaa mambo yamegoma huko akaona sasa sehemu ya kupumlia ni hapo. Chunga sana sisi banaume tuko na mayele mengi sana.
 
jamiif

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
2,414
1,195
wanasema 'u will neva know what u have until its gone' ...shit happens afterall!
 
Neylu

JF-Expert Member
May 28, 2012
2,943
2,000
Mmmmh... Small house imekuwa chungu??

Aaaah..... Wanawake tuna huruma sana jamani...!!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
unajua story utaijua tu hakuna reality hapa

Hahaaaaa! SUIT YA SELF! Hiyo ni habari ya udaku! Reality ya kitu inategemea na mazingira mtu alipo! Hata mtu wa mkoa ukimwambia watu harusi zao wanapanda chopper siku hizi atasema hiz story tu, ila Mzirai juzi kapanda kweli banaa japo watu wanabisha bado!
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
hahahahahah mwambie shem wangu machagga afanye mambo tule ubwabwa, kwani nn bana, mwenyewe nasoma ramani tu kichaa kikinipanda najilipua tu.....
Company yoteeee imeolewa au imejipasishia kwa wanaume, Senior bachelor nimebaki peke yangu Kubwa la Maadui ndo bado sina mpango wa kuzaa, kuolewa wala kuhamia! Sasa stori zote ni kuhusu My Hubby, His Hubby, Mume wa flani, Mtoto, Mama Mkwe, Wifi, Mwanzo mwishooooo! They are getting on my Nerves!!!!! Asister cant even enjoy a drink in peace! Stori za mapochi na viatu siku hizi hazina nafasi tenaa!

Either NAZEEKA SASA au nahitaji kuchange company!!!!!! LOL!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
Ciello unauliza anazitoa wapi wakati ameshakuambia kuwa ni za kutoka kwenye viti virefu?! Huyu shost wako ni mwisho wa reli. Haya, hilo alilolifanya hata mimi pamoja na udume wangu namsapoti mwanamke, usije ukakuta jamaa mambo yamegoma huko akaona sasa sehemu ya kupumlia ni hapo. Chunga sana sisi banaume tuko na mayele mengi sana.

Umeonaaa eeeeh!!!!!!! Hana lolote! Mi pia nimemsifu sana, kusamehe ni kuzuri ndio ila VIGEZO na MASHARTI ya msamaha muhimu sanaaa! Ingekuwa DEKADEKA UNTD angemwambia njooo tuishi wote!!!!!! Loooh! Hakuna kitu kama hicho!
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
dah ka ndo hivyo anabahati sana, miye kampani za viti virefu naziepuka sana sikuhizi, hadi mashosti wamenigundua.....wananisema nawatenga and all stuffs....
Ciello unauliza anazitoa wapi wakati ameshakuambia kuwa ni za kutoka kwenye viti virefu?! Huyu shost wako ni mwisho wa reli. Haya, hilo alilolifanya hata mimi pamoja na udume wangu namsapoti mwanamke, usije ukakuta jamaa mambo yamegoma huko akaona sasa sehemu ya kupumlia ni hapo. Chunga sana sisi banaume tuko na mayele mengi sana.
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
hahahahahah hiyo DEKADEKA UNTD najua unamlenga nani.....
Umeonaaa eeeeh!!!!!!! Hana lolote! Mi pia nimemsifu sana, kusamehe ni kuzuri ndio ila VIGEZO na MASHARTI ya msamaha muhimu sanaaa! Ingekuwa DEKADEKA UNTD angemwambia njooo tuishi wote!!!!!! Loooh! Hakuna kitu kama hicho!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
hahahahahah mwambie shem wangu machagga afanye mambo tule ubwabwa, kwani nn bana, mwenyewe nasoma ramani tu kichaa kikinipanda najilipua tu.....

Weeeee! UJANA wangu nimpe yeye aule afu uzee nimpelekee nani? Mpaka 30 ndo najicommit wa mtu saivi bado im examining my choices and opportunities tharally!!!!!! Japo Kuchamba kwingi mwishowe kutoka na mavi ila tutafanyaje sasa! You have one shot, you better use it wisely!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
hahahahahah hiyo DEKADEKA UNTD najua unamlenga nani.....

Aaaaaaaaah! Jamani yale ya jana YALIISHA KWA AMANI! mbona wako wengi sanaa, we ngoja waje hapa uone watakavonichambua kama karanga! LOL! Sema mimi ndo Sugu zaidi ya Mr II,

Kampani unaziepuka kwa nini tena jamani, Shutting ya hommies out of ya life kisa umetoka kimaisha aint cool!!!
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
shauri yako ngoja ukute mayai yote yamegeuka viza au wajanja watakujia na kichanga mkononi ubaki umetoa macho ka fundi saa alopoteza nati......
Weeeee! UJANA wangu nimpe yeye aule afu uzee nimpelekee nani? Mpaka 30 ndo najicommit wa mtu saivi bado im examining my choices and opportunities tharally!!!!!! Japo Kuchamba kwingi mwishowe kutoka na mavi ila tutafanyaje sasa! You have one shot, you better use it wisely!
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
Mmmmh... Small house imekuwa chungu??

Aaaah..... Wanawake tuna huruma sana jamani...!!

In reality wanaume ndo wanatia huruma!!! Kamuacha mwenzie kumbe ndo anamuongezea bahati! Angekuwa hajamwacha si bado angekuwa anahangaika na mikataba ya kodi!

Mwanamke haishi chati labda aamue tu, atayumba ila kusimama tena simple tu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom