Mume amchoma mkewe,kisa simu haipatikani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume amchoma mkewe,kisa simu haipatikani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jul 31, 2011.

1. B

Bajabiri JF-Expert Member

#1
Jul 31, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Mwanamke mmoja ameunguzwa na mumewe ambae alimtuhumu kuwa alizima simu kwa sababu alikuwa akifanya uzinz,tukio hilo limetokea moshi,ambapo mwanaume huyo aliporud alikua amelewa chakali,alimkuta mkewe anaandaa chakula cha jion,tangu akiwa nje alianza kelele,"LEO NAUA MTU",baada ya kuingia alipiga teke ugali,na kumrushia mkewe jiko la mafuta ambalo lilimuunguza sana sehemu za mapajani,pamoja na mtoto,inasemekana wanandoa hao wamezaa watoto wawili,kwa sasa mwanamke huyo amelazwa hospitali kwa matibabu
My take:Wanawake wapo kwenye wakat mgumu sana kwa sasa,hasa kutokana na manyanyaso ya wanaume,jana nilipost habar ya wanawake waliomo kwenye ndoa wananyanyaswa na kubakwa,hii nyingine

2. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#2
Jul 31, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,322
Likes Received: 22,145
Trophy Points: 280
mijitu mingine bwana agggghhhhhhhhhh.
Mbona wote twanywa pombe na bado twawapenda wake zetu?
Huyo mlevi afungwe na kamwe asizisingizie pombe

3. B

Bajabiri JF-Expert Member

#3
Jul 31, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Sijui wanasheria wanasemaje hapa,lakini baada ya miaka kadhaa utaskia hukumu imetoka na jamaa ameachiwa.......

4. arabianfalcon

arabianfalcon JF-Expert Member

#4
Jul 31, 2011
Joined: Oct 19, 2010
Messages: 2,292
Likes Received: 9
Trophy Points: 135
Loh ! mwanamme huyo muuwaji,hakuona wanaume wenzie huko njee mpaka aje kufanya zogo kwa mkewe,kama mke ndio mie mbona ndio ingekua talaka hiyo .

5. d

december Member

#5
Jul 31, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 66
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
duh hii kali sasa!!huyu pampula atakuwa mkurya!!anafaa kunyongwa kwa kamba!!!

6. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#6
Jul 31, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,403
Likes Received: 5,678
Trophy Points: 280

BUJIBUJI HAWA HUWA AWAFUNGWI SOMA MWANANCHI Y TAR 15 JUL SOMA KICHWA CHA HABARI KWANZA UONE HAWA MAHAKIMU KAMA WANA AKILI AMA ZA MAPOMPOMPO
"ALIEUA MKEWE AMUUA MWANAE KWA KISU"""

UKISOMA KWA NDAN UTAONA HUYU BWANA ALIMPIGA KISU MKEWE BAADA YA KUKIMBIA AKARUDI AKAENDA MAHAKAMANI WAKMPA DHAMANA UNAWEZA FIKIRIA SHETAN KAMA HUYU ANAUA UNAMPA DHAMANA
NINI NEXT,,AKAAMUA KUUA MWANAE ...NI SAWA NA MAJUZI KULE MWANZA WAPAKISTAN WAMEKAMATWA NA WATANZANIA 4 KWA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA MWISHO WAMEENDA MAHAKAMAANI MARA YA TANO
WAPAKISTAN WANAPEWA DHAMANA JAMANI NA NI MZIGO WA BILION 1.6 WEWE UTAJUA KILICHOEENDELA

7. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#7
Jul 31, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,481
Likes Received: 12,757
Trophy Points: 280
Huyu ***** akae jela na viboko juu shenz type!

8. B

Bajabiri JF-Expert Member

#8
Jul 31, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

msoffe,msoffe,wewe hufai kuwa hakimu dah

9. B

Bajabiri JF-Expert Member

#9
Jul 31, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

ndo maana kuna mataifa huwa hawawachelewesh watu kama hawa

10. B

Bajabiri JF-Expert Member

#10
Aug 1, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Dah,falcon mahaba dadangu,hapo badae utakuta wanalala the same bed,wanajifunika the same bedsheet

11. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#11
Aug 1, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Wivu ukizidi ni kitu kibaya sana!

12. m

mwabaluhi JF-Expert Member

#12
Aug 1, 2011
Joined: Oct 16, 2010
Messages: 561
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Rahisi kusema kuliko kutenda

13. Kamkuki

Kamkuki JF-Expert Member

#13
Aug 2, 2011
Joined: Feb 1, 2011
Messages: 1,067
Likes Received: 94
Trophy Points: 145
Kwa hili nasema sichangii kabisaaa!

14. N

Nickbob Member

#14
Aug 2, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 71
Likes Received: 1
Trophy Points: 13
[QUOTE=flora msoffe;we flora, kwanza jaribu kuweka picha yamaana hapa jf ur a ****en senior member. pili, jua wanawake wengine niwabaya sana kwenye mambo haya! nivizur mkajua ugonvi ulikuweje.

Loading...