Mume Alazimisha Kumlawiti Mkewe, Apata Aibu Kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume Alazimisha Kumlawiti Mkewe, Apata Aibu Kubwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MziziMkavu, Jan 19, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]INNOCENT NGARULA [40] amejikuta akidhlilishwa na mke wake usiku wa kuamkia jana baada ya mke huyo kuamua kutoa siri ya malumbano kati yao na kubainisha mume wake alikuwa akihitaji kumuingilia kinyume na maumbile.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Mwanaume huyo alikuwa akimsumbua mke wake huyo aliyetambulika kwa jina moja la Jojina [23] kufanya naye mapenzi kinyume na maumbile huku Jojina akipinga kitendo hicho na kutoa ahadi hewa kwa mumewe.

  Jojina amedai kuwa mume huyo alikuwa akimsumbua sana hali iliyopelekea na awe anamuongopea na kumpa kalenda kila siku.

  Siku hiyo mume wake huyo alichoshwa na kalenda hizo na mkewe na ndipo ugomvi ulianza kati yao na kupelekea mwanamke huyo kutakiwa kuondoka.

  Innocent aliuchukua uamuzi wa kumfukuza mkewe huyo usiku majira ya saa 5 usiku lakini Jojina aligoma kuondoka na ndipo alianza kushushiwa kichapo na mumewe.

  Kelele za kuomba msaada za Jojina ziliwaamusha baadhi ya wapangaji wa nyumba hiypo kuamua kumuuliza Jojina nini kimemsibu.

  Jojina alikuwa akishinikizwa na mume wake aondoke na baadhi ya majirani waliamua kumuuliza mumewe ni kwanini alikuwa akimfukuza mkewe usiku huo na kutoa sababu kuwa mwanamke huyo alikuwa ni jeuri na alichukua fedha bila idhini yake.

  Hata hivyo baba mwenye nyumba huyo alimsihi mume huyo amvumilie mke mke wake hadi asubuhi ndipo aondoke kwa kuwa ule ulikuwa usiku.

  Lakini Innocent hakuhitaji ushauri huo na alianza kumshambulia kwa makofi Jojina akimtaka aondoke na ndipo Jojina alipoamua kutoa siri hiyo kwa wanawake wenzake mbele ya mwenye nyumba na mwanamume huyo kupatwa na aibu kubwa.

  Baada ya mwanamke huyo kutoa siri hiyo mwanaume huyo kwa jazba alitaka kuendeleza kipigo na watu kumsaidia mwanamke huyo kumsitiri ili kukicha ajue ustarabu wa kufanya.

  Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana huko maeneno ya Kigogo jijini Dar es Salaam.  chanzo Mume Alazimisha Kumlawiti Mkewe, Apata Aibu Kubwa
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ole wake yule afanyae hivyo!

  Ole wake mtu yule!!
   
 3. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Mke nae hana busara hadi anaropoka si angelikimbia hilo li filauni kimyakimya hajui nae kuwa amejidhalilisha kwa kuongea ujinga mbele ya halaiki.?
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  safi sana jojina, baradhuri hilo
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Innocent na Georgina na mambo haya wap ina wapi?
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  eeeenhhee kumbe huwa ndoa zingine zinavunjika kwa mengi bora jojina umeendelea kulinda bikira yako ya uani..
   
 7. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haya mambo yafichwe hadi lini? Kama sio chaguzi yake kufanya "anal sex" ni kwa nini aridhie! ama ni sehemu ya makubaliano ya ndoa?
   
 8. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I lov TIGO
   
 9. MERCIFUL

  MERCIFUL JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,471
  Likes Received: 746
  Trophy Points: 280
  40-23 = 17!!! SHAME ON YOU INNOCENT!... Jina na Matendo yako ni vitu mia tofauti kabisa!!! Nampa hongera sana Jojina kwa kufichua tabia chafu ya huyo Mjaa Laana!
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mungu tuokoe na hiki kizazi, loh!
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Duh,
  Are we complete?, Are we finished?, Or are we completely finished?
   
 12. u

  utantambua JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mume firauni huyo,
   
 13. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Jojina atarudi kwa Innocent in no time.. tena na Tigo atatoa! anayebisha na abishe ila ndio dunia yetu imefikia huko
   
 14. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dili imebuma

  mbona hata mademu siku hizi nao wanalazimishia?
   
 15. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ​samora10 nakubaliana na wewe
   
 16. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Eeee mungu wa minguni tunusuru na hawa makameruni,
  Nampongeza huyo jojina kuweka ukweli hadharani.
   
 17. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mwenyezi mungu atustiri yani huyu bwana mpaka anafikia kumpiga mke kwa ufirauni alokua nao... aibu sijui atawaangaliaje wapangaji wenzie....
   
 18. h

  hayaka JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  aibu kweli! inabidi jamaa ahame nyumba!
   
 19. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ni nani anaweza kuhakiki "allegations" za Jojina dhidi ya Innocent? "What if" alikuwa anamsingizia mume ili apate huruma ya wapangaji wenzie?
   
 20. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ndio matatizo ya kusikiliza story za vijiweni; ukirudi nyumbani na wewe unalizimisha kupewa tiGo ili upate cha kusimulia
   
Loading...