Mume akikuta meseji za mapenzi kwenye simu yako...

Dig the EA

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
277
270
Mwanamke kaolewa miaka zaidi ya kumi. Katika hali ya kuishi, kawa na mchepuko katika kuwasiliana na mtu wake wa nje/mchepuko, meseji za mapenzi zinafumwa na mume wake.

Wanawake huwa wanalimalizaje na wanaume huwa wana chukua hatua gani?

Kwanini wana ndoa hutoka nje ya ndoa zao?
 
Mh asikuambie mtu watu tutasema humu Yale tutafanya but for sure maamuzi ya Mambo Kama haya hupatikana pale tukio linapotokea mkuu.

Ila kwa kujiandaa kisaikolojia na tukio aisee Ni rahisi mno Mimi sipigi mwanamke ntapewa kesi ya mauaji kikubwa narudisha nilipochukua maana Kama nlizofumania Ni hvyo je ambazo alipita kimyakimya!??.....na alizopitiwa kimasihara je!???

Nazidi kunukuu tena "Funguo inayofungua makufuli mengi ni hazina na hutunzwa vyema maana hua msaada wakati mwingine, ila kufuli lenye kufunguliwa na Kila funguo Hilo hata kulitupa we litupe halina kazi"

Bora lawama kuliko fedheha!
 
Una machungu I see..husamehi ?
Na jamaa yake/mchepuko wa mke wake utamfanyaje?
 
Mmmmmmh sijawahi kuelewa yaan inakuaje hadi mtu anafumwa na text za mchepuko, by the way cm n privacy ya muhusika aaaaaaah.
 
Back
Top Bottom