Mume ahitajika

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Nimegundua vijana wengi humu ndani ni ma bachala na mmekuwa mnajiuliza mtapata wapi wake wa kuoa. sasa huyu sista kanipa info zake na alikuwa ataka mume tokea East Africa sasa kama kuna mtu yuko serious please send me a PM kisha nitawalink up. JF inapoteza sana muda na nadhani this is a appropriate kwenu kuanza maana mnaweza kutumia muda wenu vizuri zaidi na kuonadokana na stress za siasa humu

By the way anataka vijana wa Kiislam au hata kama si muislam lakini awe tayari kusilimu.

wasalaam

I insist, hii issue ni serious na kama kuna watu wanafanya utani nawaomba muache utani kwenye hili

______________________________________________________________________

2zs34ar.jpg

Gender: Female
Age:24
Marital Status: Single
Has Children:No
Lives in:Sharjah, Sharjah, UAE
Nationality: Australia
Appearance: Attractive
Height:155 cm (5 ft 1 in)
Weight:57 Kg (126 lb)
Hair Color: Black
Eye Color: Brown
Ethnicity: Arab (Middle Eastern)
Religion: Islam - Sunni
Star Sign: Leo
Education: LLM
Occupation: Lawyer
Languages spoken: Arabic
English Ability: Fluent
Smoking:No
Relocate: Yes
 
Mbona Ameficha Sura

Tafadhali Tuambie Hizo Details Zake Umezitoa Wapi Au Amepost Wapi Tena

Ili Tuhakikishe
 
Hoya dogo (Brazamen) kwa nini usimshughulikie wewe??? acha kutuyeyusha bwana angekua serious najua ungenyooka nae wewe bila kuchelewa...anyway mwambie mme mzuri atashushiwa na mungu...angekua teyari kuingia dini yangu takatifu ya mitume wa yesu (RC) basi mie mara moja ningeomba kutoa hoja
 
mume atashushiwa na Mungu wake ila kama anataka mabazazi yapo kibao na nadhani tayari yamemtumia notice,haya mambo ya kuoana bila kufahamiana vya kutosha itakuja kutupa shida tuendako.
 
Nimegundua vijana wengi humu ndani ni ma bachala na mmekuwa mnajiuliza mtapata wapi wake wa kuoa. sasa huyu sista kanipa info zake na alikuwa ataka mume tokea East Africa sasa kama kuna mtu yuko serious please send me a PM kisha nitawalink up. JF inapoteza sana muda na nadhani this is a appropriate kwenu kuanza maana mnaweza kutumia muda wenu vizuri zaidi na kuonadokana na stress za siasa humu

By the way anataka vijana wa Kiislam au hata kama si muislam lakini awe tayari kusilimu.

wasalaam

I insist, hii issue ni serious na kama kuna watu wanafanya utani nawaomba muache utani kwenye hili

______________________________________________________________________

2zs34ar.jpg

Gender: Female
Age:24
Marital Status: Single
Has Children:No
Lives in:Sharjah, Sharjah, UAE
Nationality: Australia
Appearance: Attractive
Height:155 cm (5 ft 1 in)
Weight:57 Kg (126 lb)
Hair Color: Black
Eye Color: Brown
Ethnicity: Arab (Middle Eastern)
Religion: Islam - Sunni
Star Sign: Leo
Education: LLM
Occupation: Lawyer
Languages spoken: Arabic
English Ability: Fluent
Smoking:No
Relocate: Yes

mi nipo tayari mkuu. nitafute huku. 0759- 401230.
 
Kama kweli anahitaji ndoa kama alivyoamlisha Allah, mimi nipo willing. akiaka personaldetail zangu atembelee facebook yangu "KAMBAJECK"
 
Kama kweli anahitaji ndoa kama alivyoamlisha Allah, mimi nipo willing. akiaka personaldetail zangu atembelee facebook yangu "KAMBAJECK"

post ya 2008 kambajeck unareply leo...Kweli we jeki ya kamba, Nadhan hata kunyanyua bajaji ni issue
 
Back
Top Bottom