Mume afunga kwa kufuli sehemu za siri za mke wake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume afunga kwa kufuli sehemu za siri za mke wake.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by wehoodie, Oct 30, 2012.

 1. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 784
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 80
  [​IMG][FONT=&amp]

  Mwananmume mmoja (pichani) toka India aliammua kumzuia mkewe kutoka nje ya ndo kwa namna yakikatili.Sohanial Chouhan (38) ni mwanamume mwenye wivu sana na anashutumiwakumfunga na kufuli sehemu za siri mkewe ili asipatwe na wanaume wakware awapokazini.[/FONT]


  [FONT=&amp]Inaelezwakuwa jamaa humfunga kufuli kila siku asubuhi akitoka kwenda kazini na huwekaufungua katika soksi zake na kuondoka. Mwananmke hufunguliwa wakati wa jionimume anaporudi toka kazini akiwa na uhakika tamu yake haijaguswa.
  [/FONT]

  [​IMG]

  [FONT=&amp]Kitendochake cha kinyama kiligundulika baada ya mkewe kutaka kujiua kwa kunywa sumu yapanya, ambapo baada ya kupelekwa hospitali madaktari walitaka kumuwekea mrijaili kunyonya sumu mwilini mwake ndipo walishangazwa kuona kufuli katika sehemuzake za siri. Chouhan ni mtaalamu wa makeniki na wamedumu katika ndoa kwa miaka19.
  [/FONT]

  [FONT=&amp]Imeelezwana mwanamke huyo kuwa, mnamo miaka minne iliyopita alimfungia katika chumba na kishakumtoboa sehemu zake za siri ili ziweze kufungika na kufuli.[/FONT]

  [FONT=&amp]Madakatariwaliotoa taarifa polisi ambao walienda kazini kwa mtuhumiwa na kuchukua funguo.Mwanamke huyo anaeleza kuwa alitaka kujiua baada ya mumewe kumlewesha na kutakakumnajisi binti yao mkubwa. Chuohan ameshatakiwa kwa ukatili na kitendo chakumuumiza mkewe.[/FONT]
  [FONT=&amp]Baada yakukamatwa Chouhan alijitetea kuwa alifanya hivyo ili kumlinda mkewe dhidi yaudanganyifu kwani baadhi ya wanawake katika familia yao wamefanya kwa kutembeanje ya ndoa zao.[/FONT]
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,475
  Trophy Points: 280
  Hiyo mpya na ni nzuri zaidi hasa wakati wa VVU,japo kwa kiasi fulani ni unyanyasaji mkubwa.!
   
Loading...