Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,205
- 42,067
Wasalaam wana jamvi!
Bila shaka mtakuwa mnajua fika zoezi ya uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari jipya linaendelea kwenye mikoa tofauti mwanza ukiwemo!
Nakumekuwa na kelele nyingi kuwa zoezi limekwama kabisa na halito wezekana kabisa pamoja na changamoto hizo tume imekuwa ikituhakikishia kuwa zoezi litakamilika hivi karibuni!Na mwenye macho atakubaliana nami kuwa pamoja na changamoto zilozopo watu wana jiandikisha na zoezi litakamilika!
Zoezi hili likiendelea mkoa wa Mwanza kumejitokeza vijana ambao wamekuwa wakijifanya ni wataalam wa mfumo wa BVR kutoka NEC hivyo uenda kwenye vituo na kujifanya wanafanya marekebisho kwenye machine kumbe wana vuruga na kuharibu machine ili ionekane zoezi limekwama! Lakini wasimamizi na jeshi la polisi walifanikiwa kuwanasa na wako mikononi mwa polisi!
Ni wazi kuna watu hawataki kuona zoezi hili linafanikiwa hivyo wanatumia njia zozote ili kulikwamisha na lionekane limeshindikana...hakika ina sikitisha sana!
Bado najiuliza nani aliwatuma hao vijana na anapata faida gani? kwanini?
Nalishukuru jeshi la polisi mwanza na watumishi kwa kuwatia nguvuni hao vijana na watasema walio watuma!
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Afrika!
Karibuni wana jamvi!
Chanzo: Channel 10