Mulugo akiongea ktk kumkaribisha Naibu Spika ktk hafla fupi Mbeya

Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,488
257
Katika hafla hiyo mh. Mulugo amewataka wanambeya kumpongeza na kumtumia kikamilifu kwa kumpatia ushirikiano wa kutosha.
 
Katika hafla hiyo mh. Mlugo amewataka wanambeya kumpongeza na kumtumia kikamilifu kwa kumpatia ushirikiano wa kutosha
Ametoka hospitali au? Si tuliambiwa alipata ajalia au ni watu wabaya walisema hivyo?
 
Huyu nw wa kiku boy noma sana!! Alitoa speech matata mmmno pale South....Tz ya Tanganyika na Zimbabwe mwaka "naintini nainte sikste foo" hatar kabisa. Hâta maprof hawakumwelewa!!
 
Alisemaje?
It's not a slip of tongue, Mulugo ni kilaza tu!
Tanzania ni muunganiko wa Tanganyika na Zimbabwe. Na alijitetea kuwa kwa kuwa alikuwa anazungumzia masuala ya Zimbabwe kabla ya hapo.
 
Huyu nw wa kiku boy noma sana!! Alitoa speech matata mmmno pale South....Tz ya Tanganyika na Zimbabwe mwaka "naintini nainte sikste foo" hatar kabisa. Hâta maprof hawakumwelewa!!
Hao ndo walikuwa mawaziri wa JK bhana, tumekuwa na decade ya aina yake hapa TZ hatutaisahau.
 
Hivi Mbeya hakuna wabunge mpaka Naibu Spika akasikilize matatizo ya watu wa Mbeya??Naona ameingia nyumba nyingine hapo
 
Back
Top Bottom