Multiplier effect za mulugoism hizi hapa

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
996
772
Cuba in Africa 2.PNG
kichwa cha habari hapo juu chajieleza chenyewe, jisomee mwenyewe hiyo attachment uone madudu. Huyo ni mwanafunzi wa chuo kikuu kaandika paper hapo na anataka apewe maksi.

Kumbe cuba iko africa.
 
Kwa hiyo mpaka chuo kikuu kujua tuu kuwa Cuba iko wapi bado anajifunza tuu? hahahahaha!!! Sawa na mtoto wa miaka 15 bado anatambaa

Mkuu,kuna wanafunzi wengine hadi katika ngazi ya chuo kikuu, wapo ili kukuwa tu...
 
Mtu kutojua Cuba iko wapo peke yake hakumaanishi hajui kitu, you can't know everything about everything!
 
mbona kawaida hyo yawezekana maeneo mengine yoote anayajua kasoro cuba inategemea pia anasoma masomo gani mkuu A yenyew inaanzia 80-100
 
Back
Top Bottom