Multiconsult wins contracts on Tanzanian hydropower projects

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,797
11,959
7BC51F60-05F7-4C0C-A09A-B28E8102AB61.jpeg

27 July 2020

Multiconsult has been awarded major consultancy contracts by Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) for two new hydropower and transmission line projects that could double the total installed hydropower capacity in Tanzania.

The 222MW Rumakali and 358 MW Rhuhudji projects are both located in the Njombe region and could increase capacity in Tanzania from 562MW to 1142MW, playing a significant role in meeting the country’s increasing electricity demand.

As part of its contract deals, Multiconsult will undertake feasibility studies, prepare conceptual design and tender document, as well as conduct environmental and social impact assessment studies.

“We are proud to participate in the energy development in Tanzania by being awarded these large and important projects,” said Hilde Gillebo, EVP Energy in Multiconsult. “The Rumakali and Ruhudji hydropower projects will be significant in meeting the country’s increasing electricity demand. Despite a huge hydropower and solar potential, only an estimated 36.6 per cent of the population in Tanzania currently has access to electricity. The Tanzania government has set aggressive electrification targets, aiming to achieve 75 per cent electrification by 2035.”

The projects are scheduled to start immediately and are planned to be completed by Q3 2021. Norplan Tanzania Ltd and Tanzania Photomap Ltd will act as subcontractors to Multiconsult.

SOURCE: Multiconsult wins contracts on Tanzanian hydropower projects - International Water Power
 
... could increase capacity in Tanzania from 562MW to 1142MW, playing a significant role ...
.... kweli tuko nyuma! Kule China au US hayo ni matumizi ya kiwanda kimoja tu tena cha kati. Huo umeme hautoshi kwa kiwanda kama Boeing au Airbus kwa mfano ila kwa Tz tutazindua kwa sherehe kubwa maana is a big milestone ever! Will take 200 years kujaribu kufikia wengine walipo.
 
Kwa hiyo wewe unapendekeza tufanye nini?? Twende hatua kwa hatua au turuke tuwe na maendeleo kama ya USA n.k
 
Nami ntafurahi wewe ukijenga kiwanda kinachotumia MW400. Hivi unadhani ni just something simple ku-consume 400mw!!.
 
.... kweli tuko nyuma! Kule China au US hayo ni matumizi ya kiwanda kimoja tu tena cha kati. Huo umeme hautoshi kwa kiwanda kama Boeing au Airbus kwa mfano ila kwa Tz tutazindua kwa sherehe kubwa maana is a big milestone ever! Will take 200 years kujaribu kufikia wengine walipo.
CCM Ime spoil Sana maendeleo yetu
 
Nami ntafurahi wewe ukijenga kiwanda kinachotumia MW400.
Hivi unadhani ni just something simple ku-consume 400mw!!.
... mamia ya viwanda alivyoacha Mwl. viko wapi? Tungekuwa na viongozi wenye vision, leo hii tungeshafikia japo 10% ya Amerika au China.
 
Kwa hiyo wewe unapendekeza tufanye nini?? Twende hatua kwa hatua au turuke tuwe na maendeleo kama ya USA n.k
.... tulishakuwa kwenye mwelekeo sahihi enzi za Mwl. mkaja kuharibu! Mwl. aliacha viwanda vingapi? Viko wapi? Hiyo hatua kwa hatua unayosema wewe tulishatoka huko zamani sana; mkaturudisha nyuma kuliko tulikoanzia halafu tutaenda tena hatua mbili mbele then tano nyuma! Ili nchi iendelee inahitaji ARDHI, WATU, SIASA SAFI, na UONGOZI BORA; tunakwama wapi katika hayo manne? Jibu unalo.
 
what are our options? Maana naona unalalamika tu hutoi options...viwanda alivyoacha mwalimu vilikufa na vingine viliuzwa...what would you advise as a way forward?tuzungumze sera za kututoa hapa tulipo, complains za mambo yaliokwisha kufanyika wont get us anywhere.
 
what are our options?maana naona unalalamika tu hutoi options...viwanda alivyoacha mwalimu vilikufa na vingine viliuzwa...what would you advise as a way forward?tuzungumze sera za kututoa hapa tulipo, complains za mambo yaliokwisha kufanyika wont get us anywhere.
... viliuwawa na/au kuuzwa na nani? Na kwa sababu gani? What was the root cause?
 
Viwanda vilibinafishwa na Mzee Mkapa..sababu ni kua hatukua na capacity ya kuviendesha in terms of capital and man power(skilled labour) na pia serikali ilitaka kujionda kwenye kufanya biashara ijikite zaidi kwenye kukusanya kodi na kutengeneza sera..

Now that you know "root cause" na "nani" lets stick kwenye hoja ya msingi...ww unashauri tufanye nn ili tuweze kutoka hapa tulipo?nn unadhani ni sera bora na mbadala ya kutufika kwenye Uchumi wa Marekani na China?
 
.... kweli tuko nyuma! Kule China au US hayo ni matumizi ya kiwanda kimoja tu tena cha kati. Huo umeme hautoshi kwa kiwanda kama Boeing au Airbus kwa mfano ila kwa Tz tutazindua kwa sherehe kubwa maana is a big milestone ever! Will take 200 years kujaribu kufikia wengine walipo.

Tumia akili basi hata kidogo na kulinganisha vinavyolingana unawezaje kulinganísha matumizi ya umeme ya nchi ya China yenye watu > bilioni 1.3 vs TZ yenye watu chini ya milioni 50?
 
Low IQ!
... population ya China ni mara 4 ya ile ya US wakati US consumes more power than China; hilo nalo unasemaje?
 
Siku zote ukitaka kulinganisha vitu ni lazima kwanza uelewe unalinganisha nini, na kile unachokilnganisha unakielewa vizuri, hiyo ni tip tu, ...
 
Viwanda vilibinafishwa na Mzee Mkapa..sababu ni kua hatukua na capacity ya kuviendesha in terms of capital and man power(skilled labour) na pia serikali ilitaka kujionda kwenye kufanya biashara ijikite zaidi kwenye kukusanya kodi na kutengeneza sera..Now that you know "root cause" na "nani" lets stick kwenye hoja ya msingi...ww unashauri tufanye nn ili tuweze kutoka hapa tulipo?nn unadhani ni sera bora na mbadala ya kutufika kwenye Uchumi wa Marekani na China?
... so baada ya kubinafsishwa vilileta tija gani? Any improvement?
 
Hatimaye,

Hii miradi feasibility study zake zilifanyika kunako miaka ya 2000, nadhani Tanesco walikwama kuendeleza miradi hii kutokana na ujio wa gesi asilia, focus kubwa ya serikali ya JK ilikuwa ni kwenye gesi. Magufuli yeye ana focus jwenye hydropower zaidi.
 
Siku zote ukitaka kulinganisha vitu ni lazima kwanza uelewe unalinganisha nini, na kile unachokilnganisha unakielewa vizuri, hiyo ni tip tu, ...
.... Sawa. Population : power consumption ratio Tz inalingana na China au US.
 
Hatimaye.
Hii miradi feasibility study zake zilifanyika kunako miaka ya 2000, nadhani Tanesco walikwama kuendeleza miradi hii kutokana na ujio wa gesi asilia, focus kubwa ya serikali ya JK ilikuwa ni kwenye gesi. Magufuli yeye ana focus jwenye hydropower zaidi.
.... that is wrong! Hatuna sera za taifa (nishati, etc.) ambazo kila kiongozi anayeingia madarakani anapaswa kuzitekeleza badala ya kutegemea maono ya kiongozi mmoja mmoja aliyeko madarakani kwa muda huo?

Atakuja mwingine ataona yote yaliyofanyika ni upuuzi; ata-focus kwenye nuclear energy! Na kazi yote inayofanyika sasa itaonekana ujinga miaka michache ijayo kabla hata mkopo haujamalizika kulipwa.
 
.... kweli tuko nyuma! Kule China au US hayo ni matumizi ya kiwanda kimoja tu tena cha kati. Huo umeme hautoshi kwa kiwanda kama Boeing au Airbus kwa mfano ila kwa Tz tutazindua kwa sherehe kubwa maana is a big milestone ever! Will take 200 years kujaribu kufikia wengine walipo.
Umesahau kusema kwamba US imeanza mwaka 1776 na Tanzania imeanza mwaka 1961. Tumeanza miaka karibu 200 baada yao; hamna la ajabu hapo.
 
Back
Top Bottom