MultiChoice Africa ( T ) Ltd. Wameshusha bei... Bakhresa Food Products Ltd. Wamepandisha bei...

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
996
826
Kujiamini ni moja ya kanuni au siri ya biashara katika mafanikio, kwa wakati mmoja ingawa kwa bidhaa tofauti MultiChoice Africa ( T ) Ltd wamepunguza bei ya DSTV, na Bakhresa Food Products Ltd wameongeza bei ya Mkate. Kuanzia tarehe 1 Novemba 2019.
 
Any relation ??
Sioni logic hapa!
As long as biashara hizi ni tofauti
 
Mkuu katika masaa 24 wewe mwenzetu unayo ya ziada nini ?, au Msemo wa Time is Money wewe unauchukulia kwa mzaha.., hii ni nini sasa umeleta ?
 
we hujui uhusiano wa bakhresa group of companies, bakhressa food production ltd na azam? hiyo mikate unayodai kapandisha bei inaitwaje? punguza ujuaji mwingi, relax, utajifunza kwa kuheshimu wachangiaji. na kwa ujumla hoja yako haijaeleweka
 
Back
Top Bottom