Multi-Quote inatumikaje?

Invisible

Robot
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,102
Points
2,000

Invisible

Robot
Joined Feb 11, 2006
9,102 2,000
Kuna watu wamekuwa wakiulizia namna ya kufanya multi-quote. Ni vema kuandika moja kwa moja hapa ili iwe rahisi kwa wengine kutorudia swali lilelile.

Multi-Quote iko hivi:

Wakati unapotaka kujibu hoja flani, kuna watu unataka kunukuu waliyoandika na si mmoja. Basi kila chini ya post tumeweka icon ya Multi-Quote ili uweze kuwanukuu wale ambao ungependa wawe kwenye jibu la hoja yako. Basi bonyeza icon hii
kwenye kila post unayotaka kuijibu na itabadilika na kuwa na rangi nyekundu na kusomeka hivi
. Ukimaliza kuzibofya hoja zote unazotaka ziwepo kwenye jibu lako kuna sehemu utaiona imeandikwa hivi
igonge kisha endelea kujibu hoja kwa raha zako.

Karibu...

Invisible
 

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
2,260
Points
1,195

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2007
2,260 1,195
Vipi kama ni ji article likubwaaaa na unataka u multi-quote paragraph after paragraph? I mean multi-quoting the same article na sio different kama ulivyoelekeza hapo juu.
 

Forum statistics

Threads 1,367,431
Members 521,741
Posts 33,398,029
Top