Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,682
- 149,885
Akiongea jana katika maazimisho ya wiki ya sheria mkoani Mwanza,mkuu wa mkoa wa Mwanza,bwana Magesa Mulongo amependekeza waandishi wa habari nao watoe taarifa za mali zao na taarifa nyingine katika Tume ya Maadili kama ilivyo kwa viongozi na watendaji wengine wa mihimili ya dola huku akisema vyombo vya habari navyo ni mhimili mmojawapo wa dola.