Mulika mwizii!!

Auto

Member
Nov 7, 2012
51
10
Kuna wa2 wamezidi ufuska yani wanaleda vimada vyao ndani ya nyumba yako ! sasa mwisho wenu umefika,
kamera za bei chee za kuweka hom kwako inarekodi kila ki2!
sh 250,000 na 300,000 unakia na uhakika na kile kinaendelea na beiby wako!
uliza zaidi at mulika22@gmail.com
 
yaani niache kutafuta jela nimchunge mwanamke!!!!!!!! khaaaaaaa...si ntakuwa chizi
 
Ngoja uibiwe ili uone kama utakuwa normal katika kutafuta hizo hela
Tatizo lenu mnawaamini sana wanawake wenu kuwa hakuna mtu anaweza akamlaaa.....tambua kila aliyekuzidi anaweza kumla mkeo...wanawake hawawezi kushindana na pesa wewe usidanganyike
 
Mkuu hakuna mwenye mwanamke asietambua uwepo wa hao "VIONGOZI" cha muhimu ni kumuomba tu Mungu ampitishe mbali na viongozi maana wale hawanaga maneno mengi, ni noti tu.:becky:
 
hilo kweLI kaka maana hata wangu namuomba mungu tu awapitishie mbali.....maana mwanamke hawezi kulala njaa kila cku afu kuna mchizi ana maisha bora na anataka kuonja afu amtoe then huyo mdada akatae tu...nimekusoma kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom