Muleba: Waislam Wilayani hapa watofautiana kuhusu MOU

Status
Not open for further replies.
Mwenyezi MUNGU anayeabudiwa hana UBAGUZI mnaouzungumzia hapa.Watu WOTE ni mali yake. YEYE hana DINI wala RANGI wala KABILA wala UTAIFA kama mnavyotaka kuwaaminisha watu. Ukafiri mwaujua Nyie wanafiki. Kwa Mungu VYOTE ni Mali YAKE na si nyie binadamu mnaojipedekeza. Mwisho YEYE MUNGU ndie mwenye HUKUMU ya Haki. Tndeni mema ili mpate meme toka kwa MUNGU wenu. Mungu ni wa Milele na mnapomtafakari yeye msimjadili pamoja na kazi za mikono YENU. maana vyote mtaviacha humu humu duniani.
 
attachment.php
 
kwan hospital za private hazitoi huduma.mbona hazipewi?na kama ishu ruzuku iwe sawa kwa hospitali zote za serikali na za kanisa.na pia zifanyiwe ukaguzi hizo pesa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom