Muleba: Upepo mkali na mvua ya mawe

mkara mshamba

Senior Member
Jan 15, 2020
106
250
Amini usiamini leo asubuhi katika kisiwa cha Kelebe wilayani Muleba kumetokea dhoruba kali ya dakika 30 Majira ya saa nne asubuhi.

Nashangaa wataalamu wetu wa hali ya hewa kutotoa taarifa. Vipi mitambo yenu vipi?
 

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,159
2,000
Amini usiamini leo asubuhi katika kisiwa cha kelebe wilayani muleba kumetokea dhoruba kali ya dakika 30. Majira ya saa nne asubuhi. Nashangaa wataalamu wetu wa hali ya hewa kutotoa taarifa. Vipi mitambo yenu vipi
Hilo dhoruba kali la dakika 30 ni la namna gani? Kimbunga, tufani, volcano, radi au nini hasa? Litaje angalau kwa lugha ya kwetu ya kihaya ili tukuelewe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom