Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
Hadi natangazaa kusitisha maombi ijumaa 12.38 PM, nilikuwa nimeishapata waombaji 19, na wengine wane walituma maombi yao baada ya kufunga kupokea maombi, hivyo Jumla ya Waaombaji=23.
kati yao wanaume waliojifanya wanawake=9 na walienguliwa mara moja, baki 14. Walioshindwa kubainika moja kwa moja jinsia zao=2 nao walienguliwa, baki 12. waliopungukiwa sifa=1 (alitaka ndoa ya full Beijing style) naye alienguliwa mara moja wakabaki baki 11, kati yao waliobainika kudanganya baadhi ya maelezo waliyotoa ni 4 na waliondolewa, wakabaki 8. Hawa ndio walioqualify kuingia katika uchunguzi wa kina. wawili walibainika kutojiamini, na wawili hawakuwa staraightforward ktk baadhi ya maeneo, waliobaki niliwatumia baadaye PM ya kuwaarifu kuwa nimeishasawazisha na mchumba wangu wa awali na kwa hiyo nimesitisha mchakato mzima wa kumsaka mukazi wange. Waliofuatilia vizuri thread ya msingi wanajua sababu.
Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wote walioonyesha nia ya kuishi na mimi na wote waliochangia mawazo yao mazuri. Pia nichukue fursa hii kuwatangazia rasmi wanaJF wote kuwa Pearl ndiye mchumba wangu na ndoa itafungwa muda wowote kuanzia sasa. Wenye wivu mnashauriwa kujinyonga. Asanteni kwa kunisoma.
Pear kidege changu,
Mti wako nyumba yangu,
Kiota chako chumba changu
Manyoya yako godoro langu
Maringo yako raha yangu
Mbawa zako shuka langu
Shavu zako zomari yangu
Paja zako meko yangu
Moyo wako keki yangu
Nitakupenda na kukujali daima
Hakika yametimia PEARL MUKAZI WANGE .. Glory to God!