Mukazi Wange Search: Yametimiahaya hapa matokeo kamili

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,508
216
Hadi natangazaa kusitisha maombi ijumaa 12.38 PM, nilikuwa nimeishapata waombaji 19, na wengine wane walituma maombi yao baada ya kufunga kupokea maombi, hivyo Jumla ya Waaombaji=23.
kati yao wanaume waliojifanya wanawake=9 na walienguliwa mara moja, baki 14. Walioshindwa kubainika moja kwa moja jinsia zao=2 nao walienguliwa, baki 12. waliopungukiwa sifa=1 (alitaka ndoa ya full Beijing style) naye alienguliwa mara moja wakabaki baki 11, kati yao waliobainika kudanganya baadhi ya maelezo waliyotoa ni 4 na waliondolewa, wakabaki 8. Hawa ndio walioqualify kuingia katika uchunguzi wa kina. wawili walibainika kutojiamini, na wawili hawakuwa staraightforward ktk baadhi ya maeneo, waliobaki niliwatumia baadaye PM ya kuwaarifu kuwa nimeishasawazisha na mchumba wangu wa awali na kwa hiyo nimesitisha mchakato mzima wa kumsaka mukazi wange. Waliofuatilia vizuri thread ya msingi wanajua sababu.

Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wote walioonyesha nia ya kuishi na mimi na wote waliochangia mawazo yao mazuri. Pia nichukue fursa hii kuwatangazia rasmi wanaJF wote kuwa Pearl ndiye mchumba wangu na ndoa itafungwa muda wowote kuanzia sasa. Wenye wivu mnashauriwa kujinyonga. Asanteni kwa kunisoma.

Pear kidege changu,
Mti wako nyumba yangu,
Kiota chako chumba changu
Manyoya yako godoro langu
Maringo yako raha yangu
Mbawa zako shuka langu
Shavu zako zomari yangu
Paja zako meko yangu
Moyo wako keki yangu
Nitakupenda na kukujali daima…
Hakika yametimia………………PEARL MUKAZI WANGE……………………….. Glory to God!
 
Paukwa ..Pakawa..!
Kaondokea chenjagaa!
Kajenga nyumba kakaa!...

Of course some of you wont understand!
 
ah ah ah nimecheka sana,na hii mvua natamani nirudi hme nikalale maana napata vichomi tu hapa, nani anajua dawa yake?(off topic)
Naomba kwenye mambo tuliyokubaliana ubadilike tafadhali ntaku PM kukukumbusha.
 
hongera... ila Pearl inabidi Akili umpe training kidogo manake namuona bado ana akili ya kijijini...
 
na wewe twin ndo nini tena?
kwani wewe uko perfect?
mtarekebishana tu as you go along!!!
 
ah ah ah nimecheka sana,na hii mvua natamani nirudi hme nikalale maana napata vichomi tu hapa, nani anajua dawa yake?(off topic)
Naomba kwenye mambo tuliyokubaliana ubadilike tafadhali ntaku PM kukukumbusha.
sasa hapo ndo unakosea! huwa hatubadiliki ng'o
 
sasa hapo ndo unakosea! huwa hatubadiliki ng'o

hee jamani ndo hayo tena?? kwenye mahusiano si kunaamabatana na sucrifice jamani. kuna vitu mwenzi wako hatavipenda inabidi ujitahidi kubadilika au sio hivo??
 
Best angalia asijekuwa anamdate mwingine. Lakini hongera mkubwa nawaombea kwa mungu muwe waaminifu mtakapofunga ndoa, epuka kumegana kabla ya ndoa kwani adhabu yake mwaijua.
 
ah ah ah nimecheka sana,na hii mvua natamani nirudi hme nikalale maana napata vichomi tu hapa, nani anajua dawa yake?(off topic)
Naomba kwenye mambo tuliyokubaliana ubadilike tafadhali ntaku PM kukukumbusha.

yaha, dear, this time sitasahau tena, ................nawe usisahau safari yetu ya april, ujiandae mapema.......... dawa ya kichomi nimekuchukulia........... nikitua tu bongo haooooooooooooo...................
 
ok thx bana yani vichomi kinoma April sitasahau
yaha, dear, this time sitasahau tena, ................nawe usisahau safari yetu ya april, ujiandae mapema.......... dawa ya kichomi nimekuchukulia........... nikitua tu bongo haooooooooooooo...................
 
atabadilika tu nataka aache kusema watu vibaya bana

dear achana na huyo gkundi bana............... sisi tmeishaelewana............ kwanza kule kwenye sredi nimewashauri wote wenye wivu wafanye nini vile?????????/........... mwambie arudie kuisoma tena.................
 
wat do u mean kijijini?mm sihitaji wa mjini mm mwenyewe wa mbinde tu dia,ol I nid is tue love,tha has no boundaries,najua kama binadam tunamapundufu mengi lakini hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
hongera... ila Pearl inabidi Akili umpe training kidogo manake namuona bado ana akili ya kijijini...
 
kwakweli akili kichwani umenifanyia timing tu.ukweli hata mimi PEARL ninamfeel sana.tatizo tulifahamiana late sana(wakati project 13/02/2010) iko ukingoni kabisa:D:D
 
kwakweli akili kichwani umenifanyia timing tu.ukweli hata mimi PEARL ninamfeel sana.tatizo tulifahamiana late sana(wakati project 13/02/2010) iko ukingoni kabisa:D:D

unaonaje mzee ukiwahi kwenye kitanzi??????????///................
 
Back
Top Bottom