Mukandala calls UDSM Academic Staff 'lazy and money hungry'

prof mukandala ni vyema utupe mikakati yake kuwa unataka kufanya nin wewe ukiwa kama VC ..kwahiyo achana na malalamiko na jaribu kutafuta ufumbuzi..elimu inaelekea pabaya zaidi ya ubaya tulioufikia.
 
ila kiukweli walimu wa UDSM wana njaa sana kutwa kuzunguka vyuo baada ya vyuo kusaka part-time, wanafunzi pale UDSM wanaishia kuandaa vibomu vya kuzama navyo kwenye mitihani
 
Back
Top Bottom