Mukama,Nape,Hongereni kwa kazi nzuri mliyotumwa na CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mukama,Nape,Hongereni kwa kazi nzuri mliyotumwa na CDM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fige, May 5, 2011.

 1. fige

  fige JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikutegemea kama watafanya kazi nzuri na kwa haraka namna hii,lakini naona wazi kabisa juhudi zenu zina iua ccm mapema kuliko matarajio.
  BIG Up
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wewe bila shaka ni wakala wa mafisadi ambao mnatembeza scare politics ili ionekane uamuzi wa ku-flush mafisadi utaua CCM. Hizo ni ndoto na wala hao jamaa hawana mchango wowote kwenye CCM zaidi ya kuwa disruptive influence. kwa taarifa yako CDM ndicho kitachotangulia kufa kwa sababu ya undumila kuwili wa viongozi wa juu na kutumika kwao kama mawakala wa ufisadi na watu ambao kazi yao ni kutumika kuchafua wenzao ili kuhamisha attention ya watu kwenye mafisadi wa kweli.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  RIP CCM!
  Aksanteni sana nyinyi wenzetu, maana mnasaidia kuchekesha watu mkipanda majukwaani!
  Soon and very soon we will have nowhere to see you broda CCM!
  How Good!
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,839
  Likes Received: 11,959
  Trophy Points: 280
  Sikutegemea kama watakuja kumzidi Makamba haujapita hata mwezi wameanza kutofautiana wenyewe kwa wenyewe.
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mambo yamekwenda kidogo kwa kasi ajabu ndani ya kipindi kifupi mno!!!!!!!!!!! CCM kwenye kifo chako chonde wasibaki MAFISADI akina RACHEL kwa ni kero ya historia ya kizazi kizima chetu hiki!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. fige

  fige JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Sio sisi wala mimi bali wao
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  To hell CCM.
   
 8. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,743
  Likes Received: 6,018
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa ndugu yangu kwa usemayo. Hakika unatakiwa kuwa zaidi ya mwendawazimu kuisemea au kuitetea CCM inayonuka kila idara. Unahitajika unafiki wa hali ya juu kufanya hivyo.
   
 9. fige

  fige JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kizuri zaidi ni kwamba hawaamini kwamba wanaharibu
  Kuliko kujenga chama chao
   
Loading...