ina maana ni makinda,nyalandu asha migiro au lowasa!membe hana chake!mwandosya,mwakyembe wagonjwa!MAGHARIBI JEE?
Huyu bwana ame "quote" , lakini hajabainisha bwana mukama alikuwa anazungumza katika "context" ipi? Nilivyoelewa mimi ni kuwa ndani ya chama cha mapinduzi kuna mijadala ya kikanda, kwamba, haya mambo yanazungumzwa ndani ya chama. Lakin hii haimaanishi kuwa bwana mukama anasema raisi ajaye anatakiwa kutoka katika maeneo aliyoyataja. Naomba mnisamehe/mniwie radhi kama sijaelewa vizuri.
Hawa wazee wamechoka sana!The most stupid comment from a SG General
kasahau kuwa Tanzania ina watu milioni 44?
Ukiona mtu anaendekeza ukanda basi ujue huyo amefilisika kisiasa. Ukanda ni ukaburu tu. Duh CCM sasa hata kauli za kawaida tu zinakuwa tabu? Chini ya miaka 20 baada ya kifo cha Mwalimu hakuna hata mmoja ambaye alirithi hata robo ya hekima ya mwalimu? Wale tuliokuwa tunaambiwa ni wanafunzi wa mwalimu ndani ya Chama wako wapi?
Hivi bado CCM wanaamini wana SG? wameliwa.The most stupid comment from a SG General
kasahau kuwa Tanzania ina watu milioni 44?
Chadema wakitaka Urais kirahisi wateue mgombea kutoka Kusini. Mbowe, Slaa, Ndesamburo and company zinaua chama