MUKAMA kufanya mahojiano Magic FM radio kuanzia saa kumi jioni

NnyaMbwate

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
1,678
1,204
Jana nilisikiliza mazungumzo kwa njia ya simu kati ya Katibu Mkuu wa CCM Bw. Mukama na mtangazaji wa Magic FM (ni Sebbo kama sikosei) yakirushwa live na radio hiyo. Cha kushangaza jamaa alikuwa anauliza kishabiki na Mukama naye akawa anawaponda karibu viongozi wote wa CDM kuwa hawana sifa za uongozi na kuwa ni watu wasioheshimika kwa hulka zao. Kwa kauli yake, Mukama akamwomba mtangazaji atafute muda ili wafanye mazungumzo wakiwa "relaxed" ili awafahamishe watanzania mambo yanayohusiana na uchaguzi wa Igunga.

Nadhani si vibaya kwa watakaokuwa na nafasi kufungulia radio zao kumsikia bwana mkubwa wa CCM akibwabwaja! kupita 92.9 FM

Nawasilisha
 
Aina hii ya waandishi Wa habari kuhoji kidhabiki ndio wanaozidi kuwafanya Watanzania waendelee kuwa wapumbavu.Ni bora wawe wanapiga tu mziki sababu hata namna ya kuwabana wanaowahoji hawawezi au ni waoga au wanatumika pia kisiasa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom