Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,221
- 1,788
Akizungumza na vyombo vya habari leo mjini Igunga,katibu mkuu wa ccm Mukama,amejidhalilisha yeye na serikali yake,kwa kusema et chadema wameingiza makomandoo 30 waliofanyiwa mafunzo ya kikomandoo huko Afganistan.
Ni aibu kwa Mukama na serikali yake ya ccm,na leo tumejuwa rasmi kuwa hatuna usalama wa Taifa,inawezekanaje chama kisicho na dola kuingiza makomandoo nchini na dola kukaa kimya?Huyu Mukama ameonyesha jinsi gani upeo wake wa kufikiri ulivyo mdogo.
Tuna taarifa za uhakika kuwa baada ya Nape na uongozi wote wa ccm kukubaliana kutumia wale vijana wao waliokuwa kwenye makambi haramu mkoani Singida,sasa wamekuja na hoja kuwa chadema ndio wameingiza ili kupotosha umma,kimsingi ni kwamba wao sasa ndio wanawatumia hawa vijana wao baada ya Umma wa Igunga wa kuwakataa,na sasa moja ya option pekee ni kutisha wananchi.
Chadema tunamtaka Mukama na chama chake atambue alama za nyakati,Igunga imeenda,na aache mara moja kutishia wananchi,kwa propaganda za kihuni.Tuna taarifa za uhakika za ccm kufanya uhuni na kisha kuisingizia chadema ili kupata kura za huruma,Tunawatahadharisha ccm kuwa kamwe hawataweza,kwani haki na ukweli vitashinda daima.
Wakati ccm wakiendelea kukorogana na kuja na propaganda za kihuni,Chadema kwa upande wake imeendelea kufanya mikutano mitatu kila kata huku mgombea ambaye ni mbunge anayesubiri kuapishwa akifanya mikutano minne.
ALUTA CONTINUA