Muitaliano/Vicenzo Cozollino: Nilichangia Dola laki 3 kwa ajili ya maendeleo ya Bumbuli

Status
Not open for further replies.

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Mambo yanazidi kufunguka kila baada ya dakika kadhaa.... Muitaliano anauliza kama kweli yeye ni tapeli ilikuwaje akachangia dola laki 3 katika mfuko wa jimbo la Bumbuli?.... Ambazo alimkabidhi January Makamba mwenyewe....

Kawaomba watanzania wampe muda na ukweli wote utajulikana soon!..... Kakasirishwa sana na uongo unaoenezwa na January Makamba dhidi yake....

Mytake: Tukutateni kesho wadau.....
 
Ushauri wa bure kwa January Makamba. Jiuzuru tu na umalizane na huyu mtaliano nje ya public media. Kwani huyu jamaa keshakupeleka alipo lowassa sasa. Naona unachukuwa kiti cha mzee lowassa cha Fisadi number moja. Magufuli alishasema hataki kashfa kwenye serikali yake usingoje ufukunzwe au ulazimishwe kujiunzuru.
 
Makamba historia yake ya toka shuleni ni mbovu halafu ndio aanajifanya think tank huu ndio mwisho wake hachomoki maana hata aliyekuwa anampondaa ndio mwenyekiti wake wa chama kama serikali itamwacha chama hakitamwacha haya majipu ndio yanatakiwa yatumbuliwe si ajabu kati ya mawaziri waliopita yeye ndie pekee alichelewa kujaza fomu ya maadili na kutangaza mali zake
 
Huyu jamaa chances are ndio muhusika mkuu katika hizi siasa za kuchafuana na aliyetuma video ziende instagram kwanza kupima upepo kabla kuendelea wao wenyewe.
 
Pasipo kujali anatoka chama gani... ikithibitika ni kweli atolewe Uwaziri... afutwe uanachama ....afunguliwe mashitaka....

Ikionekana ni uwongo...... mzungu awajibishwe....


sheria huuma kote kote

Mkuu ni mara chache wazungu kusema uongo, hata akiwa anatoka kisiwa cha Sicily chenye mafioso lukuki kama amepoteza dollar 300K kwa kuzidiwa akili, kesho atazungumza kilatini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom