Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba?

To me only God is the Great au mnasemaje wadau?

Ngoja nikwambie maana ya the great ili na wengine wapate kujua kuptia kwako. Ukiona mtu kwenye jina lake kaweka the great ina maana jina analotumia lilikuwa la babu yake yani kapewa jina la babu yake ndo maana yake kwa kingereza si hivyo unavyo waza wewe.
Na tulisikia baba yake akisema kanumba karithi jina la babu yake.
Mfano kuna alexender the great alirithi jina toka kwa babu yake pia.
 
Pengo la Kanumba kwa Lulu? mbona hilo rahisi sana.
Yeyote mwenye 1 kati ya mambo haya matatu(Pesa,Maarufu,Wadhifa mf. Waheshimiwa)
 
Ngoja nikwambie maana ya the great ili na wengine wapate kujua kuptia kwako. Ukiona mtu kwenye jina lake kaweka the great ina maana jina analotumia lilikuwa la babu yake yani kapewa jina la babu yake ndo maana yake kwa kingereza si hivyo unavyo waza wewe.
Na tulisikia baba yake akisema kanumba karithi jina la babu yake.
Mfano kuna alexender the great alirithi jina toka kwa babu yake pia.

na 'greatest je?' kwikwikwi! copy n paste, mpaka anacopy visivyofaa!
 
Inabidi tusubili kizazi kingine labda!!...ila kuna mchizi flani ivi anaweza kiasi chake,sijamshika jina lake viskio vyake vimebanda flani ivi kwa chini,wa siku nyingi sema hana jina kubwa kiiivo.
 
Back
Top Bottom