Muigizaji mpya wa "Money Heist" La Casa Dela Papel kupewa jina la mji wa Tanzania

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Taarifa zilizotufikia chini chini kutoka Netflix kwa wanaoishi huku mamtoni, director wa Money Heist wanampango wa kumpa jina actor mpya jina la mji mmoja wapo wa Tanzania ambaye atamuokoa Prof.

Baadhi ya waafrica wanaoishi kwenye miji hio wametengenezewa website maalumu ya kuvote kupendekeza majina hayo.

Wenzetu wa Kenya wamepata promo kubwa kupitia jina la Nairobi na huu ndio muda wetu.

Mimi napendekeza Mwanza au hata Chato kuenzi juhudi za namba 1.

Au Butiama kumuenzi mwalimu.

Msoga litafaa?

Wenzangu mnapendekeza wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom