Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
Sio Chato?
Sio Chato?
Hapana sio yote, kuna Character aliitwa Marseile ni jiji Ufaransa ila sio makao makuu ya ufaransa, pia Denver ni jiji lililopo corolado Marekani ni jiji kama Mbeya au Arusha, pia Rio de janeiroMajina yanayotumika Kule no ya Mini mkuu ya nchi
Wamwite KAZURAMIMBA KIGOMATaarifa zilizotufikia chini chini kutoka Netflix kwa wanaoishi huku mamtoni, director wa Money Heist wanampango wa kumpa jina actor mpya jina la mji mmoja wapo wa Tanzania ambaye atamuokoa Prof.
Baadhi ya waafrica wanaoishi kwenye miji hio wametengenezewa website maalumu ya kuvote kupendekeza majina hayo.
Wenzetu wa Kenya wamepata promo kubwa kupitia jina la Nairobi na huu ndio muda wetu.
Mimi napendekeza Mwanza au hata Chato kuenzi juhudi za namba 1.
Au Butiama kumuenzi mwalimu.
Msoga litafaa?
Wenzangu mnapendekeza wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina sounds good snaBuza
Ukitoa Berlin,Nairobi,Rio,Moscow,Oslo,Toky,Denver.....Dar Es Salaam,Kilimanjaro& Arusha ndo majina pekee yanayotamkika vizuri!...
Nairobi wameshamuua atakayekuja ataitwa pate au lamuTaarifa zilizotufikia chini chini kutoka Netflix kwa wanaoishi huku mamtoni, director wa Money Heist wanampango wa kumpa jina actor mpya jina la mji mmoja wapo wa Tanzania ambaye atamuokoa Prof.
Baadhi ya waafrica wanaoishi kwenye miji hio wametengenezewa website maalumu ya kuvote kupendekeza majina hayo.
Wenzetu wa Kenya wamepata promo kubwa kupitia jina la Nairobi na huu ndio muda wetu.
Mimi napendekeza Mwanza au hata Chato kuenzi juhudi za namba 1.
Au Butiama kumuenzi mwalimu.
Msoga litafaa?
Wenzangu mnapendekeza wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi itarudi liniNairobi wameshamuua atakayekuja ataitwa pate au lamu