Muhugo atoa tamko uspime::::

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
Katika mahafali ya4 hapa Mkwawa iliyofanyika jmosi::::Naibu waziri wa Elimu katoa tamko kua wahitimu wa shahada ya Elimu wote watapangwa vijijini,na mikoa yetu ileeeeee......Hakuna Mwalimu atakayepangwa mjini::::::Wote mnaonitazama mnaenda kijijini::::Lol
 
Muhugo ndo nani tena? Nchi hii bana yaani ina mawaziri wengi hadi wengine hatuwafahamu...!
 
Tatizo ni nini mkipangwa vijijini?msiwe kama wasomi wa SUA waliosomea Kilimo na hawataki kufanya kazi vijijini,ilihali mashamba yapo vijijini!Teh teh teh,shame upon you SUA graduates!!!
 
Wewe unamsikiliza huyo waziri, kama alikuwa anasoma kwenye hutuba basi usiwe na wasi wasi aliposema vijijini alikuwa anamaanisha mjini maana hajui kusoma vizuri na wanaomwandalia risala nao hawajui kuandika vizuri
 
Yaliishia hapo yote labda km si wazri wa serikali yetu, kila mwaka uwa wanasema hivo na bado watu wanapangiwa job town km kawa.
 
Tatizo ni nini mkipangwa vijijini?msiwe kama wasomi wa SUA waliosomea Kilimo na hawataki kufanya kazi vijijini,ilihali mashamba yapo vijijini!Teh teh teh,shame upon you SUA graduates!!!
Kama kweli umesoma basi shule yako haijakukomboa hata kidogo.
 
Ni naibu waziri wa elimu asiye na elimu. "Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zanzibar na Zimbabwe, na nchi hii ya Tanzania muungano wake ulikuwa ni "One Nineteen Sixty Four (11964)[QUOTE=Negembo;5064232]Muhugo ndo nani tena? Nchi hii bana yaani ina mawaziri wengi hadi wengine hatuwafahamu...![/QUOTE]
 
Katika mahafali ya4 hapa Mkwawa iliyofanyika jmosi::::Naibu waziri wa Elimu katoa tamko kua wahitimu wa shahada ya Elimu wote watapangwa vijijini,na mikoa yetu ileeeeee......Hakuna Mwalimu atakayepangwa mjini::::::Wote mnaonitazama mnaenda kijijini::::Lol

binafsi siamini chochote anachokiongea huyu jamaa maana bado anaamini tanzania ni zao la zimbabwe na pemba,na hajakanusha
 
Muhugo ndo nani tena? Nchi hii bana yaani ina mawaziri wengi hadi wengine hatuwafahamu...!

hivi huyo ndo mzee wa one nighteen sixty four na pemba na zimbabwe kajaje tanzania wakat ye ni waziri wa rhodesia?
 
Back
Top Bottom