Muhubiri na Dini yake mpya akiwa mtaani

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,404
36,543
IMG-20190207-WA0027.jpg
 
Labda ndo dini yetu Waafrika?maana kelele zimekuwa nyingi sana kuhusu hizi dini zinazodaiwa tuliletewa ili tuibiwe!

Jamaa ameamua aitangaze dini yake na hivi Waafrika tunaambiwa hatukuzijua nguo mpaka walipokuja beberu'z akili yangu inanituma jamaa yupo sawa kuhubiri akiwa uchi kama ilivyokuwa enzi za mababu zetu hivyo shime Waafrika wenzangu tunaozikataa dini za kuletewa tutembee na jamaa hii ndo ilikuwa dini yetu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
🤣🤣🤣Dunia ina maajabu kwa kweli kilicho nisikitisha ni hao wavulana kuchukua picha ya huyo Mtuhumiwa hivi unawezaje kukaa na picha ya Mwanaume mwenzio akiwa uchi kwenye simu.
Hahahaha jaman kwakwel inasikitisha
 
Labda ndo dini yetu Waafrika?maana kelele zimekuwa nyingi sana kuhusu hizi dini zinazodaiwa tuliletewa ili tuibiwe!

Jamaa ameamua aitangaze dini yake na hivi Waafrika tunaambiwa hatukuzijua nguo mpaka walipokuja beberu'z akili yangu inanituma jamaa yupo sawa kuhubiri akiwa uchi kama ilivyokuwa enzi za mababu zetu hivyo shime Waafrika wenzangu tunaozikataa dini za kuletewa tutembee na jamaa hii ndo ilikuwa dini yetu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Tumechoka nazamabeberu😱
 
Back
Top Bottom