Mugongo Mugongo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2006
- 223
- 8
Mugongo Mugongo,
Prove me wrong!.... kuwa JK hakwenda mtembelea marehemu akiwa hai ktk siku nilosema. Tanga kuna umbali gani au mwenyekiti UVCCM ndio kakupa hili pia?... muulize huyo mwandishi wako alimjua vipi marehemu!
Yes it matters soma tena maelezo yake ukizingatia kwamba Mkapanjia ndiye kiungo cha urafiki anaodai yeye.
Umesema JK alienda kumtembelea Amina Chifupa mchana wa siku aliyokufa, yaani tarehe 26 June 2007. JK aliondoka Dar kwenda Tanga tarehe 25 June 2007 majira ya saa nane hivi. Tarehe 26 akawa na shughuli Tanga mjini ya kuadhimisha siku ya madawa ya kulevya, na later in the day akaondoka Tanga kuelekea Serengeti kufungua mradi wa umeme. Akarudi Dar tarehe 27 June 2007, siku moja baada ya Chifupa kufariki. Habari yote hii iko kwenye public domain, and I am surprised unaamini umbeya.
Mkubwa unapunguza credibility yako hata kwenye michango yako mingine ya msingi kuwa kung'ang'ania na kuiapia hii story za umbeya kwamba JK alienda kumuona Chifupa mchana wa siku aliyokufa, wakati mchana huo huo alikuwa anapokea maandamano ya siku ya kuadhimisha madawa ya kulevya na jioni hiyo hiyo akaelekea Serengeti.
By the way, I don't give a hoot kwamba JK alienda au hakwenda kumuona Amina siku aliyofariki, for it won't make a difference in anything. My beef ni kutufanya sisi mazuzu kwa kutuletea taarifa za uongo. And this is my beef with Mzee Mwanakijiji as well. Kubali katika hili unapotosha. Tafiti then Jadili.