JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,327
- 9,327
Kuna msururu wa mafundi wengi ambao wamekuwa wakiwashauri wamiliki wa magari au wao wenyewe kuondoa thermostat katika gari bila kujua umuhimu wa hicho kifaa hasa pale gari inapoanza kuoverhit. Kwanza kabisa Thermostat ina kazi mbili kubwa katika engine. Ambazo ni:-
1. Kuifanya engine iwarm up haraka hadi kufikia operating temperature ya engine kwa kublock flow ya maji kutoka kwenye radiator kwenda kwenye engine.
2. Kuhakikisha engine inarun katika optimum temperature kwa kuruhusu tu maji ya baridi kuingia kwenye engine pale temperature inapokuwa imezidi ndani ya engine.
Nitaeleza athari kadhaa za kuendesha gari bila kuwa na thermostat.
1. Bila thermostat engine itarun katika cold condion. Kwa kawaida kama gari ina thermostat nzima basi coolant temperature itakuwa between 80 to 100 centigrade. Kama thermostat ikiondolewa basi temperature hiyo hupungua mpaka 50 centigrade. Hii hupelekea formation ya humidity ambayo ikicondese huja kuform sludge kwenye oil na hivyo kublock lubrication of the engine na hivyo kupelekea parts mbalimbali za engine kuwear. In a long run unaua engine yako.
2. Engine ikiwa katika cold condition ECT sensor itapeleka signal kwenye ECM kwamba engine ni ya baridi na hivyo ECM itakuwa inafikiri kwamba the engine need to start. Engine itawork kwenye closed loop (Wale wenye uelewa wa cold start za engine wanaelewa maana ya closed loop) na hivyo itakuwa inaburn more fuel na kuchafua mazingira.
3. Engine yako haitarun efficiently as engine huwa inarun efficiently in slightly rich mixture au slightly lean mixture depending kama unataka more power au more fuel economy. Sasa bila thermostat muda mwingi engine yako itarun in a richer mixture.
Pia kuna baadhi ya magari hasa magari ya wazungu ukiondoa thermostat utapata majibu ndani ya muda mfupi tu. Itakuwashia taa ya check engine n.k. Hivyo ni vema thermostat ikabaki pale ilipo. Kama imezingua weka nyingine.
Sasa nitarudi kwa baadhi ya watu hasa mafundi nyundo wengi ambao wanasema thermostat huku kwetu hazina umuhimu. Kwanza kabisa ukae ukijua thermostat zipo za aina mbalimbali na kichachozitofautisha ni Operating temperature. Zipo thermostat ambazo unaweza kutumia sehemu zenye baridi na zipo ambazo unaweza kutumia kwenye joto. Ni watu tu kutokuwa wafuatiliaji.
Mwisho kwa wamiliki wa magari. Hivi mtu anakuambia eti tuondoe hiki hakina umuhimu huku kwenye joto wakati before hapo ulikuwa unaendesha tu gari lako bila shida. Na wewe unamkubalia. Waliokiweka siyo wajinga.
Car Diagnosis, Engine service, Repair, Check engine, na mengine mengi.
Karibu Ofisini kwetu Dar es salaam, Sinza Kijiweni.
0688 758 625 au 0621 221 606