MUHIMU: Simu nyingi kuishiwa chaji jioni ya VALENTINE'S DAY | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MUHIMU: Simu nyingi kuishiwa chaji jioni ya VALENTINE'S DAY

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kichwat, Feb 13, 2012.

 1. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  wana JF si vibaya kuwajuza kwamba mawasiliano ya simu yatakuwa mabaya sana jioni ya Valentine's Day (au REVELATION DAY)
  Hii itatokana na simu kuishiwa chaji, na matatizo ya mitandao kama ilivyokuwa mwaka jana au mwaka juzi ...HASA KWA WENYE WAPENZI ZAIDI YA MMOJA.

  Abiria chunga chako jioni hiyo.
   
Loading...