stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 2,162
- 2,469
Hii ni moja ya Taasisi muhimu sana katika kuzalisha mahandisi wazuri na wanaosifika Nchini na Ukanda wetu.
Sifa hii ya taasisi ipo mbioni kupotea kama hakuna hatua za wazi hazitachukuliwa juu ya jambo hili.
Wanafunzi wa diploma wanaoletwa na Serikali hutakiwa kulipa Tsh 50, 000/mwaka kwa malazi na wanaojidhamini hutakiwa kulipa karibu Tsh 800, 000/mwaka chakula na malazi. Wanafunzi wa Bachelor wanaopata malazi hulipa Tsh120, 000/mwaka.
Kutokana na tofauti kubwa ya gharama kati ya wanaodhaminiwa na Serikali na wanaojidhamini, Maafisa malazi wa DIT wamekuwa wakitumia fursa hii kupanga watu wachache wa serikali na sehemu kubwa ya hivi vyumba huvifanyia biashara haramu kwa gharama ya hadi Tsh 900, 000 (Malazi peke yake) na Kadi ya chakula (Meal Card) kwa gharama ya Tsh 300, 000/ Semester - Tsh 600, 000/ Semester.
Kwa upande wa Bachelor maafisa malazi huuza vyumba kwa gharama ya 300, 000/Semester yaani Tsh 600, 000.
Kutokana na hali hii sehemu kubwa ya walengwa wa kuu wa huduma hizi (Walemavu, wenye matatizo ya kiafya, finalist , na wanafunzi wasio na ndugu Dar Es Salaam) hukosa pia kuwadhulumu wanafunzi ambao hulazimika kuhangaika kutafuta pesa kwa njia hata zisizo sawa.
Tayari hawa maafisa malazi wameshatumia tumia udhaifu wa kuchelewa kwa fedha za kujikimu(ambayo kwa kiasi kikkubwa ndio hutumiwa na wanafunzi wa Bachelor kulipia huduma za accomodation) na kutoa notes ya tarehe 26 -nov -2018 kama mwisho wa kuwa tayari wameshalipia huduma zote za malazi ndai ya chuo, lengo kuu la kuwafukuza na kuuza hivyo vyumba kwa gharama kubwa zaidi.
Siku ya jumatano nitaleta Tangazo la notes lililotolewa na Bwana Kaseka, afisa Malazi kutoka kwa wanafunzi wanaoumia
DIT kuna wanafunzi wamezuiwa kulipa Tsh 50, 000 na matokeo yake wanalala madarasani, Garage ndani ya magari mabovu, na wengine wanalala nje juu ya vimbweta