Muhimu kwa wenyeji wa Geita Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimu kwa wenyeji wa Geita Mwanza

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by NG'WENEKELE, Jan 23, 2012.

 1. NG'WENEKELE

  NG'WENEKELE Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani mwenzenu nimemaliza Chuo mwaka jana mwezi wa 7. Nahitaji ajira inayohusiana na Law, Administration, Customer care, Policy Advocacy, Human Resource n.k. Anayeweza kunisaidia tafadhali namba 0683777792. Tusaidiane tusitupane wapendwa.
   
 2. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Umesoma course gani naona umetaja mambo megi na ni fani tofauti tofauti......Be specific
   
 3. NG'WENEKELE

  NG'WENEKELE Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Law mkuu
   
 4. M

  MALAGASHIMBA Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Heading ya post yako haijakaa vizuri mkuu.
   
 5. C

  Chigoto Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 5
  Kaka hakuna kazi siku hizi kama wewe umesoma law anza kapisa kuwa mpiganaji na anza kuwaelimisha wananchi juu ya haki zao huo ndio utakuwa mwanzo wa wewe kujitangaza na kuanza fanya mambi makubwa zaidi!!!!
   
 6. m

  mANg'HOnDi Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  out of gt huwez fanyakazi?
   
Loading...