Muhimu kwa wanadom sec school

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,263
9,883
Napenda kuwakaribisha wale wote waliosoma Dom sec kwenye sherehe ya mwaka ya wanadomsec itakayofanyika leo 20/08 Mbalamwezi Beach kuanzi 5 asubh mpaka tee, vinywaji na misosi kila mtu atajitegemea.

Pamoja na mambo yote tutajadiliana mstakabali wa shule yetu na mchakato wa kuanzisha umoja wa wanadomsec unakaribishwa sana.
 
Back
Top Bottom