Muhimu kwa wafugaji wa kuku Dar

farmersdesk

Senior Member
May 26, 2012
164
120
Vitu muhim vya kuzingatia kabla hujanunua vifaranga vya kuku
1)nunua vifaranga kutoka chanzo kinacho aminika. Kununua vifaranga holela mitaani ni hatari sana wengi unakuta wameambukizwa magonjwa hasa (transovario diseases) kama fowl typhoid. wengine hawawapi chanjo ile ya kwanza (maresks vaccine) ambapo sheria ya hatchery inawataka wamiliki wa hatchery wote wawachanje vifaranga siku ya kwanza chanjo ya mareks(mahepe) kabla hajaunza vifaranga wao.
2)andaa eneo la kulelea vifaranga (brooding area).eneo hilo lazima liwe na joto lakutosha.
3)kumbuka chanjo ni muhimu kwa vifaranga wako. Usipowachanja utakua unajiandaa kupata hasara kubwa. Chanzo zipo nyingi. Siku ya saba inabidi uwape chanjo ya mdondo (newcastle) wape kuku wako streesvita baada ya chanjo. Siku ya kumi na nne wape Gumboro(infectious bursa disease) usisahau kuwapa stress vita baada ya chanjo.
Natanguliza shukrani
Kwa ushauri na maswali juu ya ufugaji wakuku na wanyama wengine usisite nitafuta.
Dr Khalfan. 0752367114
Au kama unaweza fika Ilala amana
Farmas centre. Ulizia Dr Khalfan.
 
He wewe c kati ya wauza Vifaranga. wa kuaminika? Kama wewe hauuzi tuvipate wapi bac
 
Mimi nafuga kuku wa kienyeji ushauri wako ni aje kuhusu hilo?
 
Mimi nafuga kuku wa kienyeji ushauri wako ni aje kuhusu
Kuku wako wana umri gani?? Lakini zingatia haya
Kuku wa kienyeji jitahidi kuwapa dawa ya minyoo(levifam) kila baada ya mwezi.pia jitahidi sana chakula kiwe na mchanganyiko mzuri wa protini na energy bila kusahau madini kama calcium na mengineyo.kama unanunua chakula kutoka kiwandani basi hua kina mchanganyiko wa madini yote. Jitahidi kuwapa chanjo.pia usisahau kuwapa vitamin kama supliment.
 
He wewe c kati ya wauza Vifaranga. wa kuaminika? Kama wewe hauuzi tuvipate wapi bac
Wapo wengi tu wanauza vifaranga tena wa kuaminika.lamsingi epuka vifaranga wa mitaani nunua makampuni ya kimataifa yanayojulikana. Ilikitokea shida uweze kuwatrack
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom