Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 739
hivi hawa watu walishawahi kufungwa?
Pretty sad indeed.
Lakini tusiwahukumu wanasiasa bila sababu za msingi, kwani sijui ni wangapi waliokuwa wanamfaham marehemu Boniface.
Kila ofisi au tasnia ina mashujaa wake, mfano mimi leo ndio nimesikia habari za huyo Mzalendo Boniface.
Je mazingira ya kifo chake ni yapi? Ni nini kinaendelea kwenye majalada aliyokuwa akifanyia kazi?
Ndugu unataka mtu ajitangaze nje ya ofisi yake? au atangazwe kwa kazi zake? watu leo tunasoma udaku tu, wangapi wanajua kesi za EPA, DOWANS, etc ( kwa kifupi habari za mahakama, afya, Elimu, etc) zaidi siasa na udaku!!Ina wezekana pamoja na kuwa jembe alikuwa anajulikana hapo ofisni kwake tu,pili hata taarifa za kifo chake hazikusambaa kwahiyo tusiwahukumu kama hayo mawili juu ni sahihi.
KUNA MAKALA MOJA NILISOMA JUU YA KESI ZA EPA na uendeshaji pale kisutu. kwa bahati nzuri, mimi kama mwanasheria wa kujitegemea kwa muda mrefu, kuna jambo limekuwa likiniuma sana, na ni muhimu watu wajue.
wakati KANUMBA alipokufa, viongozi hata wa serikali wengi walihudhuria, wabunge walihudhuria, na watu wa vyama mbalimbali. WAKATI SHAROBARO alipokufa, NAPE alienda kule na wengine wakuu wa wilaya sijui. kanumba na sharo walikuwa watz waliotoa mchango mkubwa kwa taifa kupitia sanaa zao, hilo halipingiki na walistahili misiba yao kufanyiwa vile ilivyofanyiwa. ajabu yake, kuna mtu mmoja alikufa pale kwa DPP, ni kijana ambaye nimefanya naye kwazi kwa muda mrefu yeye kama wakili wa serikali, anaitwa marehemu BONIFAS. huyu ni mashine ambayo imekuwa ikiendesha kesi nyingi sana na tegemeo kubwa kwa kesi za epa, na zile kuukuu, conviction nyingi zinatokea pale kisutu , appeal zote, kesi ya MURO ambayo rushwa ilitembezwa sana ushaidi upo wazi lakini hakimu akaamua atakavyo pamoja na rushwa za mahakimu, yeye ndiye amekuwa kiongozi. ni mara nyingi ametishiwa hadi maisha kwasababu ya kesi za epa. lakini alipokufa, hakuna kiongozi hata mmoja alienda kumzika. hakuna wa chadema, wa ccm, mbunge, waziri, mkuu wa wilaya wala mkoa wala nani. pamoja na kwamba kazi aliyokuwa anafanya ni moja ya kazi hatari mno, ni kazi iliyofunga watu na kurudisha hela zilizoibiwa nyingi. IKUMBUKWE KUWA, PAMOJA NA KWAMBA WATU WENGI WANAFIKIRI WALE WEZI WA EPA HAWAFUNGWI, WENGI TU WAPO WAMEPEWA CONVICTION.
JAMBO KUU ninalopenda kuliongea hapa ni seriousness ya serikali yetu katika kuchangua maeneo ya vipaumbele. kwa bahati, kabla sijaenda private, nilishafanya kazi kama wakili wa serikali kwa muda mrefu, na bado kwenye damu yangu kazi hiyo ipo pamoja na kwamba kwa nje simo tena, niliondoka kwasababu ya maslahi.
ukitembelea pale kisutu, au mahakama yeyote ila ya wilaya, mkazi, mahakama kuu au rufaa, utawakuta mawakili wa serikali na visuti vyao vyeusi, wanashitaki watu badala ya serikali. hawa ni watu wanaobeba maslahi ya umma sana, wanaitetea serikali na kushitaki watu badala ya serikali ili uhalifu upungue. lakini mchango huu hautambuliwi sawia na serikali kiasi kwamba ilishindwa HATA KWENDA KUMZIKA BONIFAS, ambaye kwa kifo chake ni furaha kubwa kwa akina MRAMBA na akina KATITI etc ambao kesi zao bado zinaendelea pale kisutu. hakika yake, bonifas akiwa anatoa submissions zake, hadi mahakimu wengine walikuwa wanaacha mahakama zao wanaenda kumsikiliza ili wajifunze, kwasababu alikuwa na uzoefu wa muda mrefu mno na mahakimu wa kisutu wenyewe walikuwa wanajifunza toka kwake. wakili gani wa kujitegemea alikuwa na ujasiri wa kutosha mbele yake? amehatarisha maisha yake kwa kitambo kwa kazi hizi za kujitoa mhanga, lakini HATA SERIKALI NGAZI ZA JUU WALE WALIOENDA KUMZIKA KANUMBA HAWAKUJA KWAKE. sijui niseme ni aibu kwa serikali au ni nini, au tuseme hujali ili waonwe tu ila haitoki moyoni.
pamoja na polisi kujitahidi kuharibu ushahidi wa kesi mara nyingi (wao ndio wapelelezi, prosecutors wanaletewa tu vitu ili wa present mahakamani kisheria), mawakili wa serikali bado wameendelea kufanya kazi katika mazingira magumu, fungu na hawatambuliwi sana. hivi wakila rushwa tutawalaumu? wakiharibu kesi tutawalaumu? ulinzi wao uko wapi? mbona ulinzi wao tofauti na ule tunaouona pccb? unajua ni wangapi wanaikimbia hiyo ofisi karibia kila mwezi? watu wanaajiriwa wanaona uzushi wanaacha wanakuja kwenye private, kwasababu ya mambo kama haya. unaitumikia serikali kwa kujitoa mhanga kwenye mazingira magumu ya kutishiwa na washitakiwa ambao haujui watakuvamia saa ngapi, halafu mtu kama bonifas akifa mawaziri hata rais hawaji; kama kazi ya yule jamaa ingekuwa imeandikwa kwenye magazeti na kesi zake zote zile, hakika rais angekuja kwasababu ule mchakato wa mafisadi wa epa na wengine bonifas ndiye aliyekuwa mashine pale kisutu na mahakama kuu etc kuhakikisha kesi zinaenda vizuri. NI JAMBO AMBALO LIMEKUWA LIKINIUMA KWA MUDA MREFU, NASHUKURU NIMELITUA KWA JAMII ILI MZIGO MOYONI MWANGU UTULIWE. kama tunataka wahalifu, mafisadi etc wafungwe na kurudisha mali zetu, ni lazima wale wanawashugulikia tuwapromote na kuonyesha tunawajali. mishahara yao midogo, hata kwenda kuwazika jamani mmeshindwa? kama kuna mtu alihudhuria ule msima atajua ninachoongea hapa.....yule jamaa likuwa na hadhi ya jaji, hata majaji wenyewe akiwa high court akiongea walikuwa wanamsikiliza kwa makini ili wapate vitu toka kwake, ilikuwa mashine kubwa sana, na taifa hili limepoteza mtu muhimu sana ambaye mchango wake kwa jamii haujatambulika hadi sasa. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
ni kweli, nilihudhuria msiba ule, waziri huyo wa sheria na mwanasheria mkuu walikuja. lakini napenda kumuunga mkono huyo mtoa mada, waziri huyo na mwanasheria mkuu ni maboss wake toka kwenye ofisi yake. viongozi wa chadema, cuf na ccm, wabunge na wanasiasa weingine kwa ujuma, legal and human rights centre and others, waandishi wa habari za magazeti tv radio etc, wote hawa wamekuwa wakiongea sana kuhusu ufisadi katika nchi hii, wizi wa epa ulifunika nchi nzima, kila chombo cha habari kilikuwa kinaliongelea, lakini wezi wale wachache walipokamatwa, waongeaji wale wamenyamaza kimyaaa kumbe mzigo na hatari ziko mikononi mwa vijana pale kwa DPP. najua hiyo ni kazi yao wanatakiwa kuifanya lakini wale waongeaji na washabiki sana wa kesi za epa walienda wapi? kina zitto walienda wapi? kina slaa, nape na wanasiasa wote walikuwa hawajui nani anaendesha kesi hizi za epa? ninakubali kuwa wanasiasa na hata vyombo vya habari vingi ni wanafiki (pamoja na kwamba si vyote tuseme hivyo), namjua bon, nilishawahi kufanya naye kazi. pale kwa dpp wamempoteza mtu mwenye akili sana, pamoja na kwamba najua bado wapo vijana ambao wapo pale aliowafundisha kazi najua kuondoka kwake ni pengo kubwa sana. rai yangu ni kwa serikali kufuatilia mambo na kuwatia moyo wananchi wanaojitolea. mkiwatupa wapiganaji namna hiyo kama inavyoongelewa hakika yake watu wataichukia nchi na hawatakuwa wazarendo kwenye nchi yao, na hao vijana watakula rushwa hapo na kesi zote watawaharibieni kwa taarifa yenu....watieni moyo waone kuna mtu anayeappreciate kazi yao. ni kazi ya hatari sana hiyo, wengine sisi tulishaikimbia.Hapo kwenye red Mkuu nadhani umeteleza kidogo!Japo msiba wake haukupewa uzito uliokuwa unastahili,lakini nakumbuka siku ya mazishi Waziri wa sheria wakati huo bwana Mathias Chikawe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali bwana Werema,walikuwa ni miongoni mwa waombolezaji wa msiba huo.
Hili ni swali najiuliza kila siku na si mara moja nimeliuliza hapa JF.....
Hivi watanzania unafiki nani alitufundisha?
I am very serious kwenye hili, maana ni nadra sana kuwakuta watanzania halisi kwa blood na aliyekulia nchini kuwa sincere and honest tofauti sana na watu wengi niliokutana nao huku duniani...Hata wa Nija (Nigerians) japo wengi wanaaminika ni matapeli lakini wana kuwa very sincere at times na wanaamua kuku deal wazi wazi ukiwavurugia mambo yao. Mtanzania (wengi wetu) atakwambia hakuna tatizo ukijua kweli kumbe moyoni kakuhifadhi....Na ukiona mtanzania anasifia mtu ni yule ambaye majority wana mtambua...Yeye kama yeye hawezi simama na ku-appreciate mtu kwa kitu chochote peke yake bila kuhitaji wengine kumuunga mkono....This is a very good research topic kwa watu wa pyschology na human behaviour (It is very important maana bila kujua chanzo hili taifa litakumbwa na matatizo ya kiuuongozi)....
Ajabu ni kuwa hata wewe ukiishi honest and sincere life watanzania wa arround you watakutahadharisha...be careful! I wonder where is this habit/attitude from...Je ni makuzi, elimu ama muundo wa uongozi wa serikali iliyokuwa na itikadi ya kutishia watu?
Kutokana na maelezo yako hii ni typical of Tanzanians kuanzia viongozi mpaka raia...Ni kwasababu hii nitatengeneza mradi kushirikiana na wenzagu wa University of Dar es salaam University (Sociology na psychology specialists) kuelewa kiini cha haya matatizo ni nini....Kwa sasa my main hypothesis ni siasa ya Ujamaa na kujitegemea hasa wakati wa Mwl Nyerere kwasababu mwl was very smart kila mtu akamwogopa badala ya ku-forwad arguments zao.....So kwakua alikuwa Rais (Role model) kwa wengi basi kila alilosema hata kama binadamu wa kawaida alikosea hakukuwa na wakumkosoa na viongozi wengine wote pamoja na wazazi waka-iga hiyo style kwamba mkubwa hakosei ndiyo maana kukawa na maneno kama zidumu fikra za kiongozi so and so.....as a result kila mtu anatafuta umaarufu, ukubwa, heshima pasipo kuwa na substance in it na wale ambao wanaokuwa visible ndiyo wanaotafutwa na wengi kusifiwa siyo wale wenye quite spirit na utendaji mzuri....
KUNA MAKALA MOJA NILISOMA JUU YA KESI ZA EPA na uendeshaji pale kisutu. kwa bahati nzuri, mimi kama mwanasheria wa kujitegemea kwa muda mrefu, kuna jambo limekuwa likiniuma sana, na ni muhimu watu wajue.
wakati KANUMBA alipokufa, viongozi hata wa serikali wengi walihudhuria, wabunge walihudhuria, na watu wa vyama mbalimbali. WAKATI SHAROBARO alipokufa, NAPE alienda kule na wengine wakuu wa wilaya sijui. kanumba na sharo walikuwa watz waliotoa mchango mkubwa kwa taifa kupitia sanaa zao, hilo halipingiki na walistahili misiba yao kufanyiwa vile ilivyofanyiwa. ajabu yake, kuna mtu mmoja alikufa pale kwa DPP, ni kijana ambaye nimefanya naye kwazi kwa muda mrefu yeye kama wakili wa serikali, anaitwa marehemu BONIFAS. huyu ni mashine ambayo imekuwa ikiendesha kesi nyingi sana na tegemeo kubwa kwa kesi za epa, na zile kuukuu, conviction nyingi zinatokea pale kisutu , appeal zote, kesi ya MURO ambayo rushwa ilitembezwa sana ushaidi upo wazi lakini hakimu akaamua atakavyo pamoja na rushwa za mahakimu, yeye ndiye amekuwa kiongozi. ni mara nyingi ametishiwa hadi maisha kwasababu ya kesi za epa. lakini alipokufa, hakuna kiongozi hata mmoja alienda kumzika. hakuna wa chadema, wa ccm, mbunge, waziri, mkuu wa wilaya wala mkoa wala nani. pamoja na kwamba kazi aliyokuwa anafanya ni moja ya kazi hatari mno, ni kazi iliyofunga watu na kurudisha hela zilizoibiwa nyingi. IKUMBUKWE KUWA, PAMOJA NA KWAMBA WATU WENGI WANAFIKIRI WALE WEZI WA EPA HAWAFUNGWI, WENGI TU WAPO WAMEPEWA CONVICTION.
JAMBO KUU ninalopenda kuliongea hapa ni seriousness ya serikali yetu katika kuchangua maeneo ya vipaumbele. kwa bahati, kabla sijaenda private, nilishafanya kazi kama wakili wa serikali kwa muda mrefu, na bado kwenye damu yangu kazi hiyo ipo pamoja na kwamba kwa nje simo tena, niliondoka kwasababu ya maslahi.
ukitembelea pale kisutu, au mahakama yeyote ila ya wilaya, mkazi, mahakama kuu au rufaa, utawakuta mawakili wa serikali na visuti vyao vyeusi, wanashitaki watu badala ya serikali. hawa ni watu wanaobeba maslahi ya umma sana, wanaitetea serikali na kushitaki watu badala ya serikali ili uhalifu upungue. lakini mchango huu hautambuliwi sawia na serikali kiasi kwamba ilishindwa HATA KWENDA KUMZIKA BONIFAS, ambaye kwa kifo chake ni furaha kubwa kwa akina MRAMBA na akina KATITI etc ambao kesi zao bado zinaendelea pale kisutu. hakika yake, bonifas akiwa anatoa submissions zake, hadi mahakimu wengine walikuwa wanaacha mahakama zao wanaenda kumsikiliza ili wajifunze, kwasababu alikuwa na uzoefu wa muda mrefu mno na mahakimu wa kisutu wenyewe walikuwa wanajifunza toka kwake. wakili gani wa kujitegemea alikuwa na ujasiri wa kutosha mbele yake? amehatarisha maisha yake kwa kitambo kwa kazi hizi za kujitoa mhanga, lakini HATA SERIKALI NGAZI ZA JUU WALE WALIOENDA KUMZIKA KANUMBA HAWAKUJA KWAKE. sijui niseme ni aibu kwa serikali au ni nini, au tuseme hujali ili waonwe tu ila haitoki moyoni.
pamoja na polisi kujitahidi kuharibu ushahidi wa kesi mara nyingi (wao ndio wapelelezi, prosecutors wanaletewa tu vitu ili wa present mahakamani kisheria), mawakili wa serikali bado wameendelea kufanya kazi katika mazingira magumu, fungu na hawatambuliwi sana. hivi wakila rushwa tutawalaumu? wakiharibu kesi tutawalaumu? ulinzi wao uko wapi? mbona ulinzi wao tofauti na ule tunaouona pccb? unajua ni wangapi wanaikimbia hiyo ofisi karibia kila mwezi? watu wanaajiriwa wanaona uzushi wanaacha wanakuja kwenye private, kwasababu ya mambo kama haya. unaitumikia serikali kwa kujitoa mhanga kwenye mazingira magumu ya kutishiwa na washitakiwa ambao haujui watakuvamia saa ngapi, halafu mtu kama bonifas akifa mawaziri hata rais hawaji; kama kazi ya yule jamaa ingekuwa imeandikwa kwenye magazeti na kesi zake zote zile, hakika rais angekuja kwasababu ule mchakato wa mafisadi wa epa na wengine bonifas ndiye aliyekuwa mashine pale kisutu na mahakama kuu etc kuhakikisha kesi zinaenda vizuri. NI JAMBO AMBALO LIMEKUWA LIKINIUMA KWA MUDA MREFU, NASHUKURU NIMELITUA KWA JAMII ILI MZIGO MOYONI MWANGU UTULIWE. kama tunataka wahalifu, mafisadi etc wafungwe na kurudisha mali zetu, ni lazima wale wanawashugulikia tuwapromote na kuonyesha tunawajali. mishahara yao midogo, hata kwenda kuwazika jamani mmeshindwa? kama kuna mtu alihudhuria ule msima atajua ninachoongea hapa.....yule jamaa likuwa na hadhi ya jaji, hata majaji wenyewe akiwa high court akiongea walikuwa wanamsikiliza kwa makini ili wapate vitu toka kwake, ilikuwa mashine kubwa sana, na taifa hili limepoteza mtu muhimu sana ambaye mchango wake kwa jamii haujatambulika hadi sasa. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Hapo kwenye red Mkuu nadhani umeteleza kidogo!Japo msiba wake haukupewa uzito uliokuwa unastahili,lakini nakumbuka siku ya mazishi Waziri wa sheria wakati huo bwana Mathias Chikawe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali bwana Werema,walikuwa ni miongoni mwa waombolezaji wa msiba huo.