nelly nashon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 242
- 521
CHADEMA ndo chama kikuu cha upinzani kwa sasa katika siasa za Tanzania. Ndo chama chenye Wabunge na madiwani wengi nchini, pamoja na vyama vingine vya upinzani Vya CUF, ACT,CHAUMA,TLP etc, CHADEMA ndo chama chenye wanachama wengi zaidi ya pamoja ya vyama tajwa.
>CHADEMA pamoja na kupambana kushika dola, bado sijaona utayari wa dhati wa kuongoza nchi. Kuingia IKULU si jambo jepesi kama tunavyo weza fikria. Hii ina hitaji upinzani uliojipanga kwelikweli, usio kubali kupindishwa kwa kile inacho kiamini.
>CHADEMA mnapaswa kuanzisha vugu vugu la upatikanaji wa katiba mpya, katiba yenye masirahi mapana ya Taifa. Kupigania haki, kupinga kwa dhati manyanyaso na ukandamizaji, kusiginwa wa katiba iliyopo (Japo ina mapungufu makubwa).
Kupigania mabolesho ya tume ya Taifa ya uchaguzi, kuwa Tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi Mkuu 2020..
> Viongizi wa kuu wa kitaifa wa chama mmeshindwa kuonesha ukomavu wa kusimamia maamuzi ya chama mmnayo ya panga, mmekuwa viongozi wa matamko bila vitendo, hii inakatisha tamaa wanachama na wafuasi wa upinzani chini.
Siasa ni msaraba, kufa au kupona, jifunzeni upinzani kwa nchi kama Kenya, Congo, Gambia etc jinsi viongozi wa upinzani walivyo imara, hodari, jasiri wa kutetea haki.
>CHADEMA msitegemee katu huruma ya toka kwa Rais, haita kuja tokea, chama tawala nia yake kuu ni kuendelea kutawala si kuwahurumia wapinzani. AMKENI, teteeni haki, pingeni dhuruma ya watawala, msibaki kulalamika tu, tafuteni plan B.
>Viongizi wakuu wa chama mnakiua chama, huu ndo ukweli, aidha hamna nia ya Kuingia IKULU ama ni Uoga ulio pitiliza. Piganieni haki
Sasa ni wakati wa Mwenyekiti Kujitathimini kama bado nafasi aliyo nayo inamfaa, Katibu mkuu wa chama ndo kabisa hata mikakati hana, yupo yupo tu.
Hitimisho. Bira ya kuwa na tume huru ya uchaguzi kabla ya 2020, Vyama vya upinzani kuingia katika uchaguzi mkuu kwa nafasi ya Rais, ni sawa na kujisumbua.
Bila katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi, SITO PIGA KURA YA URAIS.
By: Daniel Nashon. Msema kweli daima.