Muhimu: Ikitokea leo wamezuia matumizi ya Internet tumia njia hizi kuendelea kutumia

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,830
4,727
6a05fde30a4978df7f2b793b70094759.jpg

Chanzo: Everlist Chahali
 
Serikali haiwezi kuzima internet! wakizima inamaana na wao hawataweza kutuma email tutarudi kwenye mifumo ya kizamani ya posta

Wakizingua tutaongea na wazungu waondoe radar zao wazielekeze kwenye nchi za watu ma great (GT)

Waafrica ni mazuzu hasa Tanzania ni ma fa fa fa fa, mijitu inayo lialia hali ngumu ya maisha lakini ndiyo ya kwanza kuikumbatia ccm
 
Sikia, wanaweza sana kuzima.

Internet ni kama taaa za nyumbani kwako, au tuseme ni sawa na umeme wa.Tanesco kukata umeme na eneo jingime kuwa nao.

Mfano, hii imetumika hivi karibu hapo afrika katika nchi mbili :-
1. Uganda.
2. Cameroon (hapa hadi sasa hawana internet kwenye mikoa.miwili tu huku mikoa mingine 8 ikiwa na net kama kawaida.)
Tena hapo Cameroon wanaweza kufunga hadi hudumu za Simu, kuweka vocha kwenye Simu na hadi umeme.

Kwa hiyo usije ukajifariji kuwa sijui ikulu au ofisi za serikali zitakosa hiyo sahau kabisaaa.

Chochote kinawezekana ila tatizo uchumi unakuwa una dhoofika sana.
 
Back
Top Bottom