Muhimbili yakusanya Bil 4.3/- kwa mwezi

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12705496_1038612586203199_4147880889931769535_n.jpg
 
Hhiyo hela na itumike kununua vifaa siyo waendelee kujishibishia matumbo yao
 
habari kama hizi awamu ya nne mzee wa kupaa lazima haone aibu.


swissme
 
Ni vipi tutawaamini?? Mmetudanganya mmenunua mashine za CT scan kumbe mmeazima, hata radhi hamjatuomba mwaja tena Na porojo zingine, hebu kuweni Na huruma japo kidogo
 

kama Jambo Hili ni Kwenye Afya za Ndugu Zangu Watanzania, Basi Kuna Haja ya Kumrudia Mungu Atuondolee Magonjwa ya Kimisri.

Maana Magonjwa Mengine ni Laana, na Mengine Yanatengenezwa Ili Watu Watajirike Kupitia Afya za Watu.

Kama Muhimbili Inaingiza 4 Bl Kwa Mwezi Kupitia Afya za Watu, Je! Maosptal ya Watu Binafsi, Mahabara, Maduka ya Dawa, Wanaingiza Shilingi Ngapi?

Amakweli Ugonjwa Sasa Umekuwa Biashara Yenye Kuwaingizia Watu Mipesa Mengi.
 
Umesema matumizi ni sh ngapi? but anyway...huwezi kujisifia kwa mapato kwa sababu ya magonjwa ya watu
 
Ni vipi tutawaamini?? Mmetudanganya mmenunua mashine za CT scan kumbe mmeazima, hata radhi hamjatuomba mwaja tena Na porojo zingine, hebu kuweni Na huruma japo kidogo
Mkuu, ni sawa, ile CT Scan ilikuwa iende UDOM. Ni hela za hazina hiyo hiyo kuhudumia watanzania wale wale. UDOM watapewa nyingine.
 
Back
Top Bottom